14/07/2022
Kila kitu tayari kimesainiwa kati ya Chelsea na Napoli kuhusu Kalidou ..Leo hii anafanya vipimo Kisha anasainina kuelekea LA USA kutambulishwa
Jukwaa LA Mashabiki wote wa chelsea Tanzania na nchi zingine wanaotumia lugha ya kiswahili duniani lote...Njooni tusemezane kuhusu Timu yetu kipenzi
14/07/2022
Kila kitu tayari kimesainiwa kati ya Chelsea na Napoli kuhusu Kalidou ..Leo hii anafanya vipimo Kisha anasainina kuelekea LA USA kutambulishwa
ππππππππ ASAINI CHELSEA
βKwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwandishi, Fabrizio Romano , Chelsea imekamilisha uhamisho wa nyota kutoka Man city, Raheem Sterling.
βTaarifa zinasema Chelsea italipa paundi milioni 45 k**a ofa ya usajili huo na paundi milioni 10 k**a bonasi ya usajili huo ambao unakuwa usajili wa kwanza kukamilishwa chini ya umiliki mpya wa tajiri Todd Boehly.
βSterling atasaini mkataba wa miaka mitano utakaomfanya adumu ndani ya Chelsea mpaka mwaka 2027 na mkataba huo utakuwa na kipengele cha kuongezewa mwaka mwengine huku akilipwa paundi 300,000 (Tsh. milioni 837) kwa wiki akiwa ndiye mchezaji anayelipwa zaidi ndani ya kikosi hicho cha Chelsea.
β Kusaini Kwa Sterling huenda kukafungua milango ya nyota kutoka Algeria Hakim Zeyich kukamilisilisha dili la uhamisho wa mkopo kwenda AC MILAN nchini Italy
04/06/2022
Usajili ghari mpaka Sasa..Kwa ligi za ulaya..Man city Wamemwaga mpunga mwingi sana kumpata Haaland..timu yako IPO?
13/02/2022
Chelsea imenyakua ubingwa wa Kombe la Dunia la Vilabu World Club Cup (WCC)
Mchezo wa fainali uliwakutanisha wababe wa bara la Ulaya hao na Mabingwa wa America Kusini clabu ya palimeiras ya Nchini Brazil
29/08/2021
It's Thomas Tuchel Birthday today, Enjoy your day coach
16/06/2021
Ratiba ya Chelsea Football Club , kwa Msimu wa 2921/2022..Ratiba ni ngumu sana
30/05/2021
Villarreal here we come,,, Tupishe kabisa
30/05/2021
Champions of Europe
We're Chelsea,Win ,Tie or loose we will always support our beloved Chelsea Football Club under Any conditions ..
Who are with me that " Chelsea Win the Champions league on 29/05/2021...And give as a mist beautiful commerative day on 31 May???
Chelsea Imefuzu kucheza UEFA mwakani , pamoja na kubali kupoteza mchezo wa mwisho dhidi ya Aston Villa Leo..
Tukutane tar #29/05/2021 UEFA FINAL..pale Ureno
11/06/2020
Heri ya siku ya kuzaliwa Moja ya Viungo matata sana wa Siku zijazo pale darajani..
Happy Birth Day to Bill Gilmour
06/08/2019
Namba za jersey watakazotumia Wachezaji wa chelsea Kwa msimu wa 2019/2020.....William atatumia namba 10..Pulisic 22...