Agai mwaksyala

Agai mwaksyala

Share

To discuss about football

17/02/2020

USIPITE BILA KUSOMA HII.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Mme na Mke walibishana kila mmoja akijigamba kuwa ana rafiki mzuri. Ili kumaliza ubishi, wakaamua kuwapigia Marafiki zao kwa loud speaker.

Mme akampigia rafiki wa mkewe aitwae Anna akamuuliza.

Shemu mke wangu hajalala nyumbani, simu yake haipatikani labda unajua aliko.

ANNA:yaani hata shemu usipo sema nilijua tu toka zamani kwa maana alikuwa haishi kuniambia "mme wangu hana lolote, wengine waendelea yeye hamna kitu "k**a ninge jua ndoa iko hivi nisinge kubali Kuolewa" nikuambie shemu bora amefanya vizuri akaondoka yaani huyo siyo mwanamke kabisa atakuua, kila Siku anauliza kuhusu mganga, shemu ukitaka kuoa uwage unauliza, mbona kuna mabinti wazuri tu, kwa mfano kuna huyu binti anae itwa Malta binti wa mama mdogo, ni Binti mtulivu kweli yuko tofauti kabisa na wengine, subiri nitakutumia namba yake, oa hata huyo kuliko huyo atakuua,:๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Baadae mke nae akachua simu yake akampigia rafiki wa mmewe aitwae Michael akamuuliza, huku akiwa amesononeshwa na rafiki yake Anna vibaya mno.

Shemu kaka yako hajalala hapa nyumbani, hata simu yake haipatikani, labda unafahamu alipo.

MICHAEL AKAJIBU:
Aaaaa! Hahahahaa! Shemu usihofu kabisa, relax Shemu lake, ila naomba samahani kwa kuwa hatujakutalifu, tulilewa sana akalala hapa nyumbani kwangu,ameamuka kichwa kinamuuma, au nikupe uongee nae, "Oya shemu anakutafuta" aa shemu anadai kichwa bado kinauma so mtaongea baadae, usihofu shemu lake tunakuja hapo sasa hivi.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Baada ya kukata mme na mke wakatazamana wakaanza kucheka. Mara Michael akapiga simu kwa mme, mme akaweka loud speaker ๐Ÿ”Š Michael akasikika akisema.

Oya! Oya! Umelala wapi leo?. shemu amepiga simu anakutafuta kila kona, ila usihofu nisha rekebisha mambo, ukimaliza mambo yako njoo nikupeleke tukayajenge.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nani mwenye rafiki mzuri hapo```

Usisahau ku SHARE

16/02/2020

๐Ÿ‘‡Mambo 10 kushangaza usiyoyajua kuhusu Kuku๐Ÿ’ฅ

๐Ÿ‘‰.01.Kuna idadi kubwa ya kuku duniani kuliko idadi ya binadamu. Kwa makadirio kuna kuku zaidi ya bilioni 25. Pia, kuku ndio ndege wengi zaidi duniani katika kundi ya kisayansi la familia ya ndege.

๐Ÿ‘‰.02.Kuku wana uwezo wa kukumbuka zaidi ya sura 100 za watu na wanyama.

๐Ÿ‘‰.03.Rangi ya mayai ya kuku yanategemea rangi ya masikio yake. Kuku mwenye masikio yenye rangi nyekundu hutaga mayai ya โ€˜brownโ€™ (kahawia) na kuku mwenye masikio meupe hutaga mayai meupe.

๐Ÿ‘‰.04.Kuku wana uwezo wa kuhisi chumvi kwenye chakula lakini hawawezi kuhisi sukari kwenye chakula.

๐Ÿ‘‰.05.Kwa wastani, kuku 97 huchichwa duniani katika kila baada ya sekunde 0.05.

๐Ÿ‘‰.06.Kuku akitenganishwa kiwiliwili na kichwa anaweza kurukaruka umbali wa ukubwa wa uwanja wa mpira.

๐Ÿ‘‰.07.Mwili wa kuku una asilimia 15 ya maji zaidi ya mwili wa binadamu.

๐Ÿ‘‰08.Njia yao ya kipekee ya kuwasiliana ni
milio ambayo wanayo zaidi ya 30.

๐Ÿ‘‰.09.Kuku hujisafisha kwakutumia vumbi, huchimba shimo dogo na kujigeuza geuza kwenye vumbi la shimo hilo hadi watakapo lidhika, kisha hutoka na kujikungโ€™uta.

๐Ÿ‘‰.10.Kuku tetea anayeatamia hugeuza mayai yake mara 50 kwa siku na ana uwezo wa kuatamia mayai 300 kwa mwaka.

By Fungua Ubongo.โค
SHARE kwenye Magroup yako na wenzako waone bhana๐Ÿ˜๐Ÿ‘Œ

12/02/2020

Now u know

๐Ÿ‘‡USIYOYAJUA KUHUSU MELI YA TITANIC ๐Ÿ‘‡

na Fungus Ubongo

๐Ÿ‘‰Mwaka 1912 meli ya Titanic iliyokuwa ikifanya safari zake katika bahari ya Atlantic ilizama na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 1,500 na upotevu wa mali. Ilikuwa ni ajali ambayo ilitabiriwa na watunzi wa vitabu. ..

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Aprili 15, 1912 meli kubwa ya Titanic ilizama kwenye bahari ya Atlantic. Meli hiyo ilizama ikiwa ni siku ya 4 tu baada ya kuanza safari yake kutoka Southampton Uingereza kwenda New York Marekani....

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Ajali hiyo ilisababishwa na meli hiyo kugonga mwamba wa barafu saa 5:40 usiku wa Januari 14, 1912 na kuanza kuzama saa mbili baadaye...

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kuzama huko kulisababisha mauaji ya watu wapatao 1,500 kati ya abiria 2,224 waliokuwemo kwenye meli na kufanya kuwa ajali mbaya zaidi ya meli kuliko zote.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kabla ya kugonga mwamba huo, nahodha na waongoza meli hiyo walipata maonyo sita ya kuwepo kwa hatari hiyo, lakini walipuuzia..

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Taarifa ilitolewa sekunde 34 kabla ya meli kugonga barafu na kuzama, ilitahadharisha kuwa mbele kuna mwamba wa barafu lakini waongozaji wa meli walipuuza taarifa hizo hadi pale meli ilipogonga barafu na kuchukua saa mbili na dakika arobaini hadi kuzama.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Mpaka meli inaufikia mwamba huo, haikuweza tena kusimama haraka wala kugeuka na hivyo kujikuta ikiugonga na kusababisha mpasuko kwenye matanki sita kati ya 16 ukiwemo mtungi wa kuchemshia maji kwa kuwa meli ilitumia injini ya mvuke.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Mabaharia walijaribu kuwasiliana na meli nyingine na mamlaka nyingine kwa kutumia radio za masafa, lakini haikuwa rahisi kupata msaada.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Hata baada ya meli kupasuka na kuanza kuzama, abiria wengi bado walikuwa ndani wakijaribu kujiokoa. Meli haikuwa na boti za kuokolea za kutosha, hivyo watu wengi walijaa kwenye boti chache huku wengine wakiishia kujirusha ndani ya maji na kufa maji.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Meli iliyokuja kuwaokoa ilifika baada ya saa 8 baadaye na kukuta watu wengi wameshakufa.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Ajali hiyo iliushtua ulimwengu na kusababisha sheria na kanuni nyingi za usafiri wa maji kutungwa.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Ajali hiyo imetungiwa filamu na imekuwa na simulizi nyingi. Miongoni mwa simulizi hizo zimeonyesha kuwepo kwa mambo ya kushangaza.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kwa mfano, ajali hiyo ilitabiriwa tangu mwaka 1898, lakini hakuna aliyewahi kuwaza suala hilo. Mwaka huo Morgan Robertson aliandika kitabu cha โ€˜The Wreck Of Titanโ€™ akieleza ajali iliyoipata meli iliyokuwa ikiitwa Titan.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Robertson licha ya kuwa mwandishi wa vitabu, aliwahi pia kuwa baharia, kwa hiyo baadhi ya vitabu vyake vilieleza mambo kuhusu usafiri wa maji.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Hata hivyo, kitabu hicho hakikupata umaarufu, hadi meli hiyo ilipozama, ndipo kilianza kutafutwa na kikajizolea umaarufu na watu wengi wakatamani kukisoma kwakuwa kilitabiri kutokea kwa ajali ya meli ya Titanic.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kwa mfano, watu walijiuliza, kwa nini mwandishi alitumia jina la Titan? Kwa nini waliounda meli hiyo nao walitumia jina hilohilo?

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Baada ya meli hiyo filamu nyingi zilitengenezwa, lakini filamu kali inayotamba mpaka sasa ni ile iliyotengenezwa mwaka 1997 ambayo imetumia fedha nyingi kuliko hata fedha zilizotumika kuijenga meli yenyewe.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰James Cameroon alitumia Sh500.2 bilioni wakati wa kutengeneza filamu ya Titanic iliyotoka mwaka 1997 iliyotungwa na James Cameroon wakati mmiliki wa kampuni ya White Star Line walitumia Sh1.95 bilioni kutengeneza meli ya Titanic.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Umaarufu wa filamu hiyo ulichangiwa na ushiriki wa mastaa akiwemo Leonardo Di Caprio na Kate Winslet.

๐Ÿ‘‰Mbali na filamu hiyo, kuna filamu takribani 11 zilizotengenezwa baada ya kuzama meli hiyo.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Mwezi mmoja baada ya kuzama kwa meli ya Titanic muvi ya โ€˜Saved from the Titanโ€™ ilitoka, mwigizaji Dorothy Gibson alishirikishwa kwenye muvi hiyo kwakuwa aliokolewa wakati meli ikizama na nyingine iliitwa โ€˜A Night to Rememberโ€™ ya mwaka 1958.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Wakati meli ikizama kulikuwa na uhaba wa boti za kuokolea hivyo kipaumbele kikatolewa kwa wanawake na watoto. baadhi ya wanaume akiwemo tajiri Joseph Bruce Ismay aliyaokoa maisha yake baada ya kuvaa mavazi ya k**e na kuruhusiwa kuingia kwenye boti.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Mbinu yake ilimsaidia ingawa alichafuliwa jina na Wamarekani baada ya kuitelekeza meli yake wakati ikizama.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Kwa kuwa meli hiyo ilikuwa ikitumia makaa ya mawe kujiendesha kulikuwa na watu 176 waliokuwa na kazi ya kuweka tani 600 za makaa ya mawe kwa siku.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Hivyo kila siku meli hiyo ilikuwa ikitumia tani 600 za makaa ya mawe. Hata hivyo inadaiwa kwa siku ilikuwa ikimwaga tani 100 za majivu kwenye bahari ya Atlantic majivu hayo yaliyotokana na tani 600 za makaa ya mawe ambayo yalikuwa yakitumika kwa siku.

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Ujenzi wa meli๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Mwaka 1909 White Star Line ilitoa zabuni ya kutengenezwa kwa meli ya Titanic, Lord Pirrie rafiki wa Joseph Bruce Ismay alichukua oda hiyo na kuanza kuitengeneza Titanic.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Wakati wa ujenzi wa meli hiyo, wajenzi wanane walifariki na 246 walijeruhiwa. Mwishoni mwa Machi 1912 meli hiyo ilikamilika na kuanza safari zake Aprili 10 mwaka huo hadi pale ilipozama Aprili 14.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Meli hiyo ilikuwa na madaraja matatu ambayo ni daraja la juu, la kati na la chini. Matajiri walikuwa kwenye daraja la juu, walipata huduma nzuri. Kwa wakati huo ulipaswa kulipia tiketi ya dola 4700 ambazo ni zaidi ya Sh12.2 milioni kwa sasa ili uwe daraja la kwanza.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Daraja la tatu au la chini lilikuwa na mabafu mawili tu, takribani abiria 700 wa daraja hilo walikuwa wakichangia mabafu hayo mawili. Hata hivyo, abiria wa daraja la chini hawakurusiwa kuingia sehemu za matajiri.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Ndani ya meli kulikuwa na bendi ya muziki ya watu wanane wakiongozwa na Wallace Hartley ilikuwa ikiwafariji abiria wakati meli ikizama, bendi hiyo iliendelea kuimba baada ya kuona abiria wameshtushwa na kuogopa wakati meli ikizama.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Waimbaji hao waliweza kuwafariji abiria huku wengine wakicheza na kukisubiria kifo kilichokuwa mbele yao. Sio tu kuwafariji wengine lakini pia bendi hiyo iliimba nyimbo ili kujifariji na wao. Waimbaji wote nane walifariki baada ya meli kuzama.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Ndani ya meli ya Titanic kulikuwa na wanyama wengi lakini mbwa wawili tu pomeranian na pekingese ndio waliookolewa wengine wote walikufa baada ya meli kuzama.

By Ubongo
โค

Ooooooh my god

MFAHAMU NYANGUMI
[WHALE]๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘‰(1)moyo wa nyangumi una kilo 600๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰(2]mtoto wa nyangumi ananyonya lita 600 kila siku ikiwa ni mwaka wa kwanza tu๐Ÿ˜‹

๐Ÿ‘‰[3]mtoto wa nyangumi anakuwaga na uzito wa ki 2700 ambao ni sawa na kifaru mkubwa saizi ya mwisho๐Ÿ‘Œ

๐Ÿ‘‰[4]uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa na tani 200 adi 300 mmoja jike alik**atwa na kupimwa alikutwa na kilo 171000๐Ÿ˜Ž

๐Ÿ‘‰[5]ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito wa tembo mkubwa.

๐Ÿ‘‰[6]mdomo wa nyangumi unauwezo wa kuifazi tani 90 za chakula na maji akiufungua mpaka mwisho.๐Ÿ˜†

๐Ÿ‘‰[7]chakula kikubwa cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000,000 kwa siku..๐Ÿ˜€

๐Ÿ‘‰[8]ili nyangumi ashibe zaidi anakula kilo 3600 kwa siku,๐Ÿ˜ƒ

๐Ÿ‘‰[9]nyangumi anaweza kuishi miaka zaid ya 250๐Ÿ˜‹

๐Ÿ‘‰[10]baazi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa gusa pembeni๐Ÿ˜Š

๐Ÿ‘‰[11]ukubwa wa nyangumi unaweza kuwa zaidi ya ndege aina ya ๐Ÿ˜€

๐Ÿ‘‰[12]urefu wa nyangu unakadiriwa kuwa mita 30mpaka 50 uki muweka ardhini urefu wake ni sawa na urefu utakao jitokeza baada ya kuya panga magari 9 ya familia, alie k**atwa mara ya mwisho alikuwa na urefu wa mita 33๐Ÿ˜Ž

๐Ÿ‘‰[13]nyangumi ndiye mnyama mwenye sauti kubwa kuliko kitu chochote hapa duniani hutoa sauti kali sana kipimo cha ambayo inaweza kusikika umbali wa kilo mita 848 ni sauti kubwa na kali kuliko sauti itoayo ndge kubwa aina ya JET inapo anza kupaa ambapo kipimo cha sauti ya JET ni au Dar es salaam mpaka Mbeya...๐Ÿ˜

HUYO NDIO NYANGUMI....

Fungua Ubongo

11/02/2020

Wastani mtu hupepesa macho mara 28,000 kwa siku.

11/02/2020

Wakati wa utawala wake Idi Amin alipiga marufuku wanawake kupaka manukato, kuvaa mawigi, suruali na vimini. Kwa mujibu wake alifanya hivyo ili kulinda maadili ya nchi.

10/02/2020

Utajiri wake unakadiriwa kufikia kiasi cha Dola million 130,
MR BEAN ni miongoni mwa watu wenye IQ ya juu sana Duniani yaani Intelligent Quotient, uwezo mkubwa wa kufikiri (Akili),
anayo IQ ya 178,(kumbuka Isaac Newton alikuwa na IQ ya 170 tu).
NB: Usizarau kazi ya mtu au muonekano wa mtu wa nje hujui ni jinsi gani alivyo smart kichwani.

10/02/2020

Samsung ina miliki zaidi ya 15% ya uchumi wa Korea Ya Kusini, ina miliki Shule, Hospitali, Nyumba za kuishi n.k

05/10/2019

Sauti unayoisikia unapoongea, sio wanayoisikia wasikilizaji.

Photos 26/09/2019

Moja Kati ya camera za kwanza kabisa kuwahi kutumika Duniani, na ndio camera kubwa Zaidi kuwai kutengenezwa, ilikuwa na uzito wa pounds 900, na ilikuwa inahitaji watu Zaidi ya 15, katika kuitumia.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kyela?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Mbugani Street
Kyela