Kubet Kazi

Kubet Kazi

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kubet Kazi, Sports Team, Lindi.

12/02/2023

alikamwe naitaji majibu sio kingine tuachane na kufungwa mie mwana soka naelewa ni moja ya matokeo kwenye soka ila kwenye ili lazima tukae
Mezani kisha tuambiane yule ndo uyu
Au tumepigwa changa

11/02/2023

Malengo

Photos from Kubet Kazi's post 05/01/2023

Mwaka wako uhu tunaendelea songesha gurudumu burudani zinaendelea

01/01/2023

🚗 🚗 🚗 dupamdupange dua ziwe nyingi nitakupakia broo 😂😂😂

Photos from Kubet Kazi's post 31/12/2022

Kaka umetisha safari njema ila wenzio bado tupo
Tupo kidogo mzeee 😂😂😂😂

30/12/2022

Kwenye maisha kuna nyia njingi sanaaa zakufanya kazi ukapata pesa ila sio kufanya kazi ukatimiza malengo kalbia vijana ote duniani tutamani kuishi k**a vijana wengine waliofanikiwa ila shida iko hapa kiasi ambacho tunapata sio sahii kwenye wakat ambao tuko nao
Mfano maisha ya sasa au jins dunia inavozunguka kila siku utaingiza elf 5 ila uwezi timiza malengo

20/12/2022

😂😂😂😂😂😂

Photos from Kubet Kazi's post 20/12/2022

Huduma tunatoa popote ulipo baada ya nalipo tunakusafilishia gharama juu yako ✅✅✅✅

17/12/2022

KESHO NI SIKU KUBWA MABILIONI YA WATU
WATAKUA KWENYE TV NA KIWANJANI WAKIANGALIA MPIRA MIM NIPO UPANDE WANGU UHU WA MESS WEW UKO UPANDE GAN
Weka comment yako hapo chini

14/12/2022

Legend

11/12/2022

Maisha nimapito

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Lindi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Lindi