Wapwa zangu mpo?
Fountain gate fc
Karibu katika ukurasa wetu huu kwa taarifa za klabu yetu pendwa ya fountaingate fc hakuna upotoshwaji hapa
25/05/2026
Tuko nafasi ya tisaaaaaaa
Tumeshinda bila penati
HT
CHOBWEDO 1_2 SISI
Nishone suti ya ndege au haiwahusu😀
Wakifungwa wengine tawi, ila yule mdudu ana wivu sana😃😃😃
FT JKT 2_2 SISI
Naombeni msimamo, kuna mgumba kapanda hapo eenh😃
Kila siku ramani ya uwanja mpya, haya bhana wazee wa sinema zetu😀😀
Mwali kajitunza weee, zabibu za miatano zimemponza🤣🤣🤣
13/05/2026
Our Own Lamine Yamal chuga..
Mungu amuepushe na wale wa tuma na yakutolea.
A young is so talented
Tulishasahau mambo ya bakuli, Hawa jamaa hata haya hawana😏😏😏
KIJIWE CHA MASHABIKI
Karibu uulize swali, maoni, ushauri mpwa wenu najibu zote
Click here to claim your Sponsored Listing.