Soka Tz

Soka Tz

Share

michezo,burudani na taarifa za dharura

17/09/2024

SOKA TZ IS BACK

10/01/2022

Mapinduzi cup.

kikosi cha azam vs yanga

10/01/2022

Mapinduzi Cup.
kikosi cha yanga vs azam.

10/01/2022

Usajli.

Mshambuliaji wa zamani wa yanga na simba mganda hamiis kiiza amejiunga na kagera sugar

10/01/2022

Mapinduzi Cup. 10/1/2022
Nusu fainali ya pili nii..

Namungo vs Simba saa 2:15 usiku.
nani kutinga fainali?

10/01/2022

Mapinduzi Cup.10/1/ 2022
nusu fainali ya kwanza nii...

Azam vs Yanga Saa 10:15 jioni.

Nani kutinga fainali?

24/09/2021

Benchi la ufundi la yanga

Nabi-kocha mkuu

Cedric kaze-kocha msaidizi

Mwinyi zahera-mkurugenzi wa ufundi wa soka la vijana.

24/09/2021

Kaze is back.

Rasmi cedric kaze ametambulishwa kwa mara nyingine tena yanga.

10/09/2021

Tanzia.

Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa simba zacharia hanspop amefariki dunia usiku huu.

17/08/2021

Haruna niyonzima alipokua akiagwa yanga sc aliomba jezi yake namba 8 apewe zawadi mauya lakini kwa sasa jezi hiyo itavaliwa na mganda Khalid Aucho.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Manyara?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Kondoa Irangi
Manyara