Soka kiganjani

Soka kiganjani

Share

Uchambuzi wa soka

09/04/2021



Full Time Europa League Quater Final

@

09/04/2021



Full Time Europa League Quater Final

G.Moreno⚽44'pnt

@

09/04/2021



Full Time Europa League Quater Final

D.Klsassen⚽39"
*************************************
L.Pellegeine⚽57"
Ibàñez⚽89"

@

09/04/2021



Full Time Europa League Quater Final

N.Pepe⚽86"
T .Holeś⚽93"

@ Soka kiganjani

09/04/2021



Full Time Europa League Quater Final

M.Rashford ⚽
B.Fernandes⚽pnt

@

08/04/2021

✍ Anaandika
:
Al Ahl🇾🇪y vs Simba 🇹🇿VITA YA KUJENGA HESHIMA

“Hakuna mtu aliye itarajia Simba kufuzu Na licha ya kufuzu kuongoza Kundi lile mbele Al Ahaly ”

..Mechi ya kwanza Simba Alimfunga Ac Vita goli moja kwa bila baada ya hapo historiya mpya iliandikwa Kuwa simba ndiyo timu ya kwanza tokea Tanzania kushinda ndani ya ardhi Congo . Wengi walidhani kabahatisha kilicho stusha zaidi ni ule ushindi wa 1-0 dhidi ya Al Ahly ,

Baada ya ushindi ule Simba ilibadilisha kilakitu wadau wengi wa mpira tokea Afrika waliaanza kuutambua ukubwa wa simba na kuheshimu uwekezaji ulio fanywa The Boss..Mo Dewji

Kesho wanakutana ikiwa kila mmoja amesha pata tiketi ya kucheza Robo fainal Simba wakiongoza kundi na Al Alhy akiwa nafasi ya pili

..Simba inaihitaji mechi hii ili kujitambulisha kimataifa zaidi kuwa wao ni bora zaid Kwa sasa Afrika k**a wakimfunga bingwa wa Afrika nyumbani na ugenini ndani ya msimu mmoja . Kila mmoja afrika ataifahamu Simba kwa ukubwa zaidi ya hapa walipo fika sasa

. Simba kibiashara zaidi ina uhitaji mchezo huu kushinda ili kufanya biashara pia ..kwa kuuza na kununua wachezaji wazuri

..NB Mchezaji mzuri hatangalii fedha tu bali hata timu inayo fanya vuzuri na yenye malengo

.Pia wachezaji wa Simba wanauhitaji mchezo huu kuendelea kufanya vuzuri ili kujiuza nje ya Tanzania na bara la Afrika

.Hakuna Asiye jua ubora wa Al Ahly Afrika na hata Duniani kwa sasa watakacho hitaji wao ni kurejesha Heshma yao ile ya mwanzo

@ SokaSoka kiganjaniaSoka kiganjani

07/04/2021

Quater Final

Full time Chelsea ✔️

@ Soka kiganjani

07/04/2021

UCL Quater Final

Full time PSG ✔️

@ Soka kiganjani

07/04/2021

@

Full Time Serie A

@ # Soka kiganjani

07/04/2021

@

FULL TIME!!! SERIE A

Inter Sassuolo 2️⃣-1️⃣

⚽️ 10’ RomeLulukaku
⚽️ 67’ LautaroMartinez
********************************
⚽️ 85’ Traore

@ soka kiganjani

07/04/2021



Zinedine Zidane alipo hojiwa na Sky Sport kuhusu hatma yake ..

🗣️ “Kilamara Italy iko kwenye moyo wangu, Juventus kilamara inaumuhimu kwangu . Kuhusu kurejea?? 😂 Siwezi kujua kwa sasa niko Real Madrid tusubiri tuone ”

@
@

07/04/2021

..SOKA :“Pigo kwa Arsenal ”
Kieran Tierny Atakua nje ya Dimba kwa muda wa wiki 4-6 kutokana na jeraha la goti alilo lipata kwenye mchezo dhidi ya Liverpool

@
@

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Marangu?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Mawenzi Rod
Marangu
25111999