28/04/2024
Full Time:
FGA 3-1 Mbeya City
⚽⚽Chamungu
⚽Sadick
Official FGA Talents FC page.
28/04/2024
Full Time:
FGA 3-1 Mbeya City
⚽⚽Chamungu
⚽Sadick
28/04/2024
⚽MATCHDAY
🆚
📆 28 April 2024
⏰ Kick off: 1600Hrs
🏟️ Maji Maji-Songea
🏆NBC Championship
27/04/2024
Matokeo ya ligi ya vijana U17 timu yetu imetoka sare 4-4 dhidi ya Mbuni Fc
27/04/2024
⚽NEXT MATCH
🆚
📆 April 28.2024
⏰ Kick off: 1600Hrs
🏟️ Maji Maji-Songea
🏆NBC Championship
26/04/2024
⚽NEXT MATCH
🆚 Mbuni U17
📆 April 27.2024
⏰ Kick off: 1400Hrs
🏟️ Kituo cha Ufundi-Kigamboni
22/04/2024
Harakati za beki kisiki katika mchezo wetu dhidi ya Kengold Fc mchezo ulimalizika kwa kupoteza magoli 2 kwa 0
21/04/2024
Matokeo ya ligi ya vijana U17 vijana wetu wameibuka na ushindi
21/04/2024
⚽MATCHDAY
🆚
📆 21 April 2024
⏰ Kick off: 1600Hrs
🏟️ Sokoine-Mbeya
🏆NBC Championship
20/04/2024
⚽NEXT MATCH
🆚
📆 April 21.2024
⏰ Kick off: 1600Hrs
🏟️ Sokoine-Mbeya
🏆NBC Championship
19/04/2024
Mapema hii leo kabla ya kuanza safari yetu kuelekea jijini Mbeya tulipata ugeni kutoka kwa Waziri wa utamaduni,sanaa na michezo na mbunge wa jimbo la Songea mjini Mhe.Dr.Damas Ndumbaro
Kubwa ametutakia kila la heri katika michezo yetu iliyosalia ya Championship
19/04/2024
Heri ya Siku ya kuzaliwa mbavu ya kulia
Ikawe siku ya Kheri na Amani tele
Enjoy Your Day Mtaalamu wa Boli...
17/04/2024
Heri ya Siku ya kuzaliwa Stopper
Ikawe siku ya Kheri na Amani tele
Enjoy Your Day Mtaalamu wa Boli...