bikemaster_tz

03/10/2026

"Maumivu ni ya muda, ndoto zangu za BMX ni za milele. πŸ’ͺ🚴 " BMX Union Nitro Circus Bike Master Tz Christopher Chimwaga Banga-acro X Games Japan Momo acro Nandy Drex Lee Kink BMX

02/10/2026

Nikiwa kwenye BMX najifunza kitu kimoja: ujasiri, nidhamu na kuamini uwezo wako. Kila siku ni changamoto mpya, kila stunt ni nafasi mpya. Vivyo hivyo, jaribu nafasi yako na na uendelee kusukuma mipaka yako. 🚴πŸ”₯

02/10/2026

I got over 50,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! πŸŽ‰

02/10/2026

Wassalaam 🀍. Ijumaa Kareem kwa ndugu, jamaa na marafiki wote. Mola awajalie siku njema yenye baraka.πŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ•‹πŸ•‹πŸ•‹πŸ•ŒπŸ•ŒπŸ•Œ

01/10/2026

"Leo namkaribisha baiskeli mpya, lakini siwezi kusahau ile ya zamani iliyonifikisha hapa. Asante kwa kila kumbukumbu, karibu kwa historia mpya. 🚲πŸ”₯❀️"πŸ’―πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌ BMX Union Banga-acro Nitro Circus X Games Japan Brad Simms

"Leo namkaribisha baiskeli mpya, lakini siwezi kusahau ile ya zamani iliyonifikisha hapa. Asante kwa kila kumbukumbu, ka...
01/10/2026

"Leo namkaribisha baiskeli mpya, lakini siwezi kusahau ile ya zamani iliyonifikisha hapa. Asante kwa kila kumbukumbu, karibu kwa historia mpya. 🚲πŸ”₯❀️"

Leo naagana na baiskeli ambayo imekuwa sehemu kubwa ya safari yangu. Tumeanguka pamoja, tumeshinda pamoja, tumepitia sik...
01/10/2026

Leo naagana na baiskeli ambayo imekuwa sehemu kubwa ya safari yangu. Tumeanguka pamoja, tumeshinda pamoja, tumepitia siku ngumu na siku nzuri pamoja.

Si rahisi kusema kwaheri, kwa sababu kila mkwaruzo na kila alama juu yake ina kumbukumbu ambayo sitaisahau. Lakini maisha ni safari ya mabadiliko, na leo naanza ukurasa mpya na baiskeli nyingine.

Asante kwa kunibeba katika ndoto zangu, asante kwa kunipa furaha na kunifanya niwe Bike Master TZ ninayemjua leo.

Kwaheri rafiki yangu wa kweli. Utaondoka mikononi mwangu, lakini kumbukumbu zako zitabaki moyoni mwangu milele. ❀️🚲

πŸ˜­πŸ˜­πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ’˜πŸ’˜πŸš²πŸš²

01/10/2026

Kazikazi tuuuu support πŸ’ͺπŸΌπŸ™πŸΌπŸš² πŸ’ΈπŸ’ΈπŸ’Έ BMX Union Nitro Circus Bike Master Tz Christopher Chimwaga Banga-acro X Games Japan Nandy Momo acro Drex Lee Mpemba Og Maulid Kitenge

Good morning πŸŒ„πŸŒ„πŸš²πŸš²πŸ™πŸ™πŸ’―
29/09/2026

Good morning πŸŒ„πŸŒ„πŸš²πŸš²πŸ™πŸ™πŸ’―

Address

Mzumbe
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bikemaster_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share