Muba Sports News

Muba Sports News

Share

Michezo ni afya na michezo ni ajira..

21/04/2024

Raunds ya kwanza ya nusu fainali ya klabu bingwa Mamelod aangukia pua

21/04/2024

BENCHIKHA: CV YANGU INAHARIBIKA
"Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa k**a hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu"

"Nitaongea tena na viongozi wangu k**a nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa ila k**a watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi"

My name is Castro Yanga New

20/04/2024

Kikosi kinachoanza dhidi ya Simba

31/07/2023

KUTOKA AVIC TOWN: Huyu ni Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Hafiz Konkoni ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ ameanza kujifua na wananchi kwaajili ya msimu wa 2023/2024.

Unatarajia nini kutoka kwa mshambuliaji wa mabao?

25/07/2023

DEAL DONEโœ…

KAZE โžก๏ธโžก๏ธ NAMUNGO

25/07/2023

HII IMEENDA.

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

25/07/2023

๐Ÿ•ธ..WATAALAMU WA SHERIA WANASEMA...

Mwanasheria wa Yanga SC Simon Patrick kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

"Kanuni ya 62 (4) - Kanuni za Ligi Kuu, Toleo la mwaka 2022 inasema;

โ€œMchezaji wa kigeni anayeruhusiwa kusajiliwa kwenye Ligi Kuu ni yule anayecheza katika timu ya Taifa ya nchi yake au Ligi Kuu ya nchi husika.

Mchezaji kutoka Amerika ya kusini na Ulaya, lazima awe anacheza angalau kuanzia Ligi Daraja la Tatu (Kitaifa, kutegemea mfumo kwa nchi husika).

Mazingatio ya Daraja mchezaji analocheza kabla ya usajili wake kwenye Ligi ni kwa wakati husika au kipindi kisichozidi miezi sita tokea ameachana na timu yake ya mwisho kwa mchezaji aliye huruโ€ Mwisho wa kunukuu..

Sasa k**a mchezaji katoka kwenye Ligi ya Mkoa au Ligi daraja la 4 huko Amerika ya kusini, usajili wake utakuaje hapa nchini? Naombeni kuelimishwa๐Ÿ˜Ž".

25/07/2023

๐Ÿ•ธ..RASMI SAKHO ATUA UFARANSA..

Pape Ousmane Sakho, mchezaji wa kimataifa wa Senegal mwenye umri wa miaka 26, anajiunga na QRM hadi 2026! Akitokea Simba sports club ๐Ÿ‘‹ !

25/07/2023

TAKWIMU BOMBA....

Timu zilizokusanya points nyingi zaidi kwenye michuano ya CAF 22/23.

1. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 30 โ€” ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Ahly
2. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 25 โ€” ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Wydad Casablanca
2. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 25 โ€” ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ USM Alger
3. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 20 โ€” ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Young Africans
4. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 20 โ€” ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Mamelodi Sundowns
5. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 20 โ€” ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Esperance

โ—‰ Muda k**a huu msimu uliopita Young Africans SC walikuwa wa (78) kwenye viwango vya CAF wakiwa na points 0.5.

โ—‰ Baada ya msimu (1) Yanga wanesogea kutoka nafasi ya (78) hadi (18) wakiwa na points (20). Klabu ya Simba SC imesogea kutoka nafasi ya (10) hadi (9) wakiwa na jumla ya points (35). Anayeongoza Al Ahly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ yeye ana jumla ya points (83).

๐™‰๐™ค๐™ฉ๐™š โ€” Viwango vya (CAF) hupangwa kwa kuzingatia performance ya timu husika ndani ya misimu (5) kwenye michuano ya (CAF).

โ—‰ Simba SC wamekusanya points (35) katika misimu hiyo (5) na kukaa nafasi ya (9). Huku Yanga wakikusanya points (20) katika msimu (1) 22/23 pekee na kukaa nafasi ya (18).

Misimu (4) iliyopita Young Africans hawakufanya vizuri kwenye michuano ya CAF, hawakupata points that's why wanabaki na points (20) walizozikusanya 22/23.

โ—‰ Baada ya kupata points (20) 22/23, kwa mara ya kwanza Young Africans wamezipita klabu zifuatazo kwenye viwango vya CAF.

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ASEC Mimosas
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Etoile du Sahel
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ ES Setif
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Coton sports
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Marumo Gallants
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Kaizer Chiefs
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ AS Vita

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ Al Merriekh
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Masry
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ US Monastir
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ FAR RABAT
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Enyimba
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ MS Alger

etc ......

๐™‰๐˜ฝ โ€” Unadhani msimu huu 23/24 Young Africans SC wataongeza points ngapi

23/07/2023

KACHAPWA BHAN๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Mandonga kachapwa bhana

Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga โ€˜Mtu Kaziโ€™ amekubali kichapo dhidi ya Bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi kwa pointi zote za majaji katika pambano la marudiano lililopigwa Sarit Center Expo jijini Nairobi usiku wa Jana Jumamosi, Julai 22,2023.

Wanyonyi alilipiza kisasi dhidi ya Mandonga katika pambano hilo lisilo na ubingwa licha ya Mtu Kazi kuja na kipigo kipya alichokibatiza kwa jina la 'Kingukiโ€™ kutoka Urusi lakini alishindwa kufua dafu mbele ya Mkenya huyo aliyemlambisha chini mara mbili katika raundi ya 6 na 10.

โ—‰ Januari 12 2023 Mandonga alimchapa Wanyonyi kwa TKO katika pambano la kwanza la uzito wa kati lisilo la ubingwa lililopigwa KICC Jijini Nairobi.

Cc. Kitenge sports

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Morogoro
Morogoro
KILOSA