Nashukuru sana 🙏🙏🙏 Ni kweli kwamba ndo Tamasha namba Moja Tanzania Upande wa Mashindano ya Kula, Hakuna Tamasha Lingine lililowahi kutokea Tanzania kabla ya TONGE NYAMA TANZANIA kiupekee na uzito.. 🙏🙏🙏
Mbio za Vitambi
》Tunaamini tukiwajenga wao kiroho tutakuwa tumeikomboa Jamii nzima Mtaani, Maana wao ndo vijana wa kuijenga hiyo jamii Leo.
05/04/2024
WANAUME Msileft Group tunamazungumzo na nyinyi...
07/03/2024
19/12/2023
Kuhusu.. Lini na wapi ata mimi sijui 🤫 Ninachojua ni kwambaa.., Mitaa inatuamini, hatujawahi kuwaangusha katika lolote, Tumechagua kuwa Upande wa Mama, sisi na majirani zetu na mitaa yetu ipo pamoja na sisi.. Subiri kidogo jirani.. Tunakujaaa🤔
..
Tunaigusa mitaa kwa namna hii tuliyoichagua 🙏🙏🙏
✍🏿TUNAILETA YOOOTEEE DAR ES SALAAM.
kipimo ni kilekile ila mbwembwe nyingiiii....🤔 Mama yupo jikoni... Tukutane paleee ndo eneo la tukio Jeti lumo, Tareh 25/09/2023.. Wape majirani zako wotee taarifa ...
More Info: 0628 515 113
30/07/2023
Mtu Kazi.. wewe ni Shujaaa 💪💪💪
Hakuna Kurudi Nyuma..
Click here to claim your Sponsored Listing.