Salumu

Salumu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Salumu, Sports, 0715970560, Morogoro.

15/10/2023

πŸ™πŸ™πŸ™asante mungu wangu kwa kunipambania adi leo hii

09/02/2021
09/02/2021

Epsd 1
Kwa histiria fupi inayo mzungumzia kijana john ambae ni mkazi wa jijini dar es salaam kijana huyo ni kijana mwenye umri wa miaka19 ni kijana ambae aliishi kwa hofu ya mungu aliishi kwa kuamini mungu yupo
Siku moja kijana john alikuja akienda kazini akiwa njian alikutana na lafiki yake ambae alisoma nae ambae anaitwa juma
John.
Vipi juma
Juma.
Safi kaka John wapi sasa
Maana inaonesha
Unaharaka
John.
Yap nikweli juma naomba
Niwai job kaka kuusu ile
Ishu tutaongea vizur
Kisha John akatoka mbio na kumuacha juma Katika mshangao hali ilio sababisha juma kwenda kwa mganga ambae walishaendaga na john

JE WEWE UNAFIKILI JUMA KWANN ALIENDA KWA MGANGA NA INASEMEKANA ALISHAENDAGA NA JOHN NA WALIENDA KUFANYA NN FATILIA STORY HII YA JUMA NA JOHN
KWALEO NITAISHIA HAPO TUKUTANE JPIL

01/01/2020

CAMERA IMENIPONZA
Fatilia tamsilia hii itakayorushwa ivi kalibuni YouTube (ADM TV) na ili uwe wakwanza usisahau ku subscribe channel yetu na ku comment
Ni sitoli fupi inayohusu familia ya mzee salehe iddy kilundila iliyopo mjini morogoro ni familiya yenye watt 2 wa kike1 na wakiume1 nao ni salimu na teddy sikumoja teddy akuwa anatoka chuo kuelekea nyumbani alipo shuka kwa bahati mbaya aliiacha cm yake kwenye bajaji akalipa pesa ya nauli na kuondoka deleva wa bajaji akageuza na kuelekea kijiweni bila ya kujuwa chochote alipofika kijiweni akapaki bajaji na kuelekea dukani kununua maji ndipo alipokuja kijana mmoja ajulikanae K**a Wilson ambae ni mkata ushuru wa magali alikua akienda kuikatia bajaji ushulu alipoangalia kwenyesiti za nyuma ndipo alipoiona simu

Wewe unajuwa nini kitaendelea usikose kufatilia hiki kisa fb utasoma YouTube utaona

01/01/2020

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ

26/10/2019

Adm Tv ni group la watu watatu ambao ni asoba dunduliza na mswaki tunaofanya kazi ya kukufurahisha lakini pia mbali na kufurahisha tunafundisha pia kupitia clip zetu za youtube cha kufanya nenda katika app yako ya youtube andika (AdM Tv) kisha zitakuja nyingi nyingi ila yenyewe itakuwa na picha k**a uiyonayo hapo chini ila tunaomba usisahau Ku share na ku subscriber kisha bonyeza alama ya kengele itakayo tokea hapo

24/10/2019

Asalaam aleykum
Anah ismuh (salimu salehe )
Wahsmuh stahadhuka (ramadhan A milonge)

(Walhadith milh kammath ammaaa amaakum)
Zumuni la kisimamo changu nilicho kisimama hapa mbele yenu

(Wadhukurukum lhadithi nnabiyha)
Nikutaka kuwakumbusheni hadithi ya bwana mtume mohammadi s.w

(Wadhalkah yahkur)
Na hivi nasema

(Khallah rasuli llhahi (s w )
Amesema mjume wa mwenyeazimungu rehma na amani ziwe juu yake

( Mandhwaaa hakha allaakhabri maitah)
Mtu mwenye kucheka katika makabri ya maiti

(Fakhannamaaa khatara sitiinha nnabiyha)
K**a vile ameuwa mitume (60)

( Whakhatara )
Na ameuwa
(Amahu wa Abahu)
Mama yake na Baba yake

Waadha asalam alaykum
Wa lahma tunllah taallah
Wa balkatuh

28/09/2019

Mpost mpenzi wako na wewe k**a kweli unampenda

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

0715970560
Morogoro
970560