09/09/2025
YANGA : hii ni kwa ajili ya mashabiki wa yanga tu, hivi Nini maana ya kuipenda timu na kuishabikia wakati kwenye matukio muhimu ya timu hauhusiki hususani tukio kubwa K**a la wiki ya wananchi (YANGA DAY) ni ajabu Sana mpaka Leo hii unajiita shabiki wa yanga wakati hauna tiketi ya siku ya wanainchi .
Note : ifike hatua mashabiki tuwe tunaiga kwa wenzetu bwana,wenzetu msimu huu ni msimu wao wa nne hawana kombe lolote la nbc pl lakini linapokuja swala na kuujaza uwanja siyo shida zao hizo, sasa itakuwa ajabu Sana yaani K**a yanga tutashindwa kuujaza uwanja wa mkapa siku yenyewe.
Zingatieni Hilo wana yanga wenzangu .✍️