Emanuel John

Call Website

Emanuel John Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Emanuel John, Sports, Mikocheni, Mpanda.

Follow us kwa taaarifa mpya za michezo na burudani🔥

Follow us for the latest sports and entertainment news🔥

JOURNALIST & CONTENT CREATOR



Jinsi Yanga ilivyo ingizwa chaka huko afrika kusini na dalaliEng Hersi: Hivi sasa Simba wanakocha mzuri na wachezaji waz...
25/10/2026

Jinsi Yanga ilivyo ingizwa chaka huko afrika kusini na dalali

Eng Hersi: Hivi sasa Simba wanakocha mzuri na wachezaji wazuri sana kutokea huko south Africa mnaonaje na sisi twende huko tukachukue makocha na wachezaji wenye profiles kubwa kwani sisi tutashindwa kuwaleta na kuwalipa mishahala minono.

Ali kamwe:Hapana boss tutaonekana k**a tumewaiga Simba sc tutapata aibu.

Eng Hersi: Hapana ally mwanangu twendeni South huko huko tayari Mimi nishapata connection ya wachezaji pale kwa mabida pamoja na kocha mzuri sana niamini Mimi.

Ali kamwe: sawa baba tunaondoka lini?

Eng Hersi: Next week

Ali kamwe: ok

SOUTH AFRICA

Dalali: habari yako kiongozi

Eng Hersi: wewe nani?

Dalali: Mimi naitwa frolence mabadi ni Agency wa makocha pamoja na wachezaji karibu sana mkuu.

Eng Hersi: Ahsante sana kiongozi naomba kesho asubui tuonane tufanye Mazungumzo kwa kina.

Dalali: bila shaka nitakutafuta ikifika asubui boss.

Eng Hersi: ok

Dalili: Morning mkuu

Eng Hersi: morning Njoo tukutane Francis Hotel

Dalali: Mbona nipo karibu sana na hapo Francis Hotel kumbe ulifikia hapo

Eng Hersi: Ndio

Dalali: Nakuja hapo dakika Tano nyingi.

Eng Hersi: karibu sana.

Sasa hapo zilipigwa story nyingi sana na Eng Hersi pamoja na huyo Dalali au agent wa mchongo.

Eng Hersi alifanikiwa kuzinasa Saini mbili saini ya kwanza ilikuwa ya kocha mkuu wa ya yanga MABOGA MABICHI na Saini ya pili ilikuwa Saini ya SHALULILE.

Baada ya hiyo biashara Eng Hersi aliambiwa usinipigie tena simu kikubwa mchezaji na kocha tayari nimekukabidhi wote na tayari wamesha Saini utajua wewe unawasafilisha vipi na lini mtaondoka hapa South Africa

Dalali:Niwatakie safari njema huko muendako nipelekeeni salamu zangu kwa kocha wa mpila STEVE BAKER

Hivyo ndivyo Hali halisi ilivyo kuwa kule South Africa mpaka kuwapata wale ma what preyaaa.

23/10/2026
21/10/2026

Hatimae unabii umetimia hii simba kila mtu anakufunga Denzel treiner 🫡🙌

#𝐍𝐠𝐮𝐯𝐮𝐌𝐨𝐣𝐚

21/10/2026

Huku Zimebondwa na Zimenyongwa ❤️

Mashabiki wa simba kuruhusiwa siku ya kesho kuijaza uhuru stadium 15 De Agosto  wamekubali kuwaingiza machizi soccer ⚽🙌 ...
20/10/2026

Mashabiki wa simba kuruhusiwa siku ya kesho kuijaza uhuru stadium 15 De Agosto wamekubali kuwaingiza machizi soccer ⚽🙌

Taarifa rasimi ya Simba sc

20/10/2026

Iblahim doumbia upele umefika kwa mkunaji..✍️
💪

IBRAHIM DOUMBIA ameanza rasimi mazoezi kwa ajiri ya kuimarisha misuri zaidi DENZEL TRAINER aliomba muda wa  wiki Moja tu...
19/10/2026

IBRAHIM DOUMBIA ameanza rasimi mazoezi kwa ajiri ya kuimarisha misuri zaidi DENZEL TRAINER aliomba muda wa wiki Moja tuu ili Teka la Magoli lianze kushambulia nyavu za wapinzani.

Je unaona wiki Moja inatosha kurudisha utimamu wa mshambuliaji wa simba sc tuambie hapo chini kwenye comment k**a inawezekana.

⬇️Kwangu Mimi inawezekana tena kwa haraka zaidi🔥

💪

Address

Mikocheni
Mpanda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emanuel John posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category