Taarifa na michezo

Taarifa na michezo

Share

Page kwaajili ya kukujuza taarifa mbalimabli

01/10/2022

RATIBA YA MECHI ZA LEO DUNIANI.

TANZANIA: NBC Premier League
16:00 Namungo vs KMC

ENGLAND: Premier League

14:30 Arsenal vs Tottenham
17:00 Bournemouth vs Brentford
17:00 Crystal Palace vs Chelsea
17:00 Fulham vs Newcastle
17:00 Liverpool vs Brighton
17:00 Southampton vs Everton
19:30 West Ham vs Wolves

FRANCE: Ligue 1

18:00 Strasbourg vs Rennes
22:00 PSG vs Nice

GERMANY: Bundesliga

16:30 FC Koln vs Dortmund
16:30 Frankfurt vs Union Berlin
16:30 Freiburg vs Mainz
16:30 RB Leipzig vs Bochum
16:30 Wolfsburg vs Stuttgart
19:30 Bremen vs Monchengladbach

ITALY: Serie A

16:00 Napoli vs Torino
19:00 Inter vs AS Roma
21:45 Empoli vs AC Milan

SCOTLAND: Premiership

14:30 Hearts vs Rangers
17:00 Aberdeen vs Kilmarnock
17:00 Celtic vs Motherwell
17:00 Dundee Utd vs St. Johnstone
17:00 Ross County vs Hibernian
17:00 St. Mirren vs Livingston

SPAIN: LaLiga

15:00 Cadiz vs Villarreal
17:15 Getafe vs Valladolid
19:30 Sevilla vs Atl. Madrid
22:00 Mallorca vs Barcelona

ENGLAND: Championship

17:00 Blackburn vs Millwall
17:00 Blackpool vs Norwich
17:00 Bristol City vs QPR
17:00 Cardiff vs Burnley
17:00 Coventry vs Middlesbrough
17:00 Reading vs Huddersfield
17:00 Rotherham vs Wigan
17:00 Sheff Utd vs Birmingham
17:00 Sunderland vs Preston
17:00 West Brom vs Swansea

jr update

30/09/2022

Azam k**a Azam

30/09/2022

Kutoka kwa Christian Falk (Mkurugenzi wa jarida la michezo la Bild Sport)

Mshambuliaji wa RB Leipzig Christopher Nkunku alifanyiwa vipimo vya afya kwa siri na Chelsea wiki chache zilizopita.

Tayari Chelsea wameshatuma ofa ya mkataba kwa wawakilishi Nkunku ili kuweza kuona k**a wanaweza kupata saini yake 2023.

Bado dili halijakamilika ila kwa kitendo cha RB Leipzig kumruhusu Nkunku kufanyiwa vipimo na Chelsea inatoa ishara nzuri kuhusu dili hilo.

Kwa sasa Nkunku ana mkataba wenye kipengele chenye thamani ya euro milioni 60 ambacho kitakuwa hai kuanzia Juni 2023.
#$wandela jr update

30/09/2022

Ten Hag mbabe!

Kocha wa Manchester United Erik ten Hag ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi Septemba katika ligi kuu ya England.

jr

30/09/2022

OFFICIAL

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Marcus Rashford ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya EPL

⚽️ Mabao: 2️⃣
🅰️ Assists: 2️⃣

jr update

30/09/2022

Mamlaka ya afya ya Kakamega, Nchini Kenya inachunguza kisa kimoja cha Ebola juu ya mgonjwa mmoja anayeshukiwa kuambukizwa ugonjwa huo. Mtu huyo ambaye hivi majuzi aliwatembelea jamaa mashariki mwa Uganda kwa sasa yuko katika kitengo cha kutengwa cha hospitali ya St Mary akisubiri uchunguzi wa maabara.

Wiki iliyopita, Serikali ya Kenya ilitoa tahadhari ya Ebola na kutoa wito wa kuchunguzwa kwa wasafiri wote katika vituo vya kuingilia kwenye mpaka wa Nchi hiyo na Uganda.

Ugonjwa huu kwa kawaida humpata mwanadamu kwa kugusana kwa karibu na damu, majimaji, viungo au majimaji kutoka kwenye miili ya wanyama walioambukizwa k**a vile popo, sokwe, nyani, swala na nungunungu.

update

30/09/2022

Jumapiliiii hiiiii motoooo utawakaaaaaaa kule halaànd hku ronaldoooooo

30/09/2022

From

Nikipata fursa ya kuonana na Rais wa TFF Wallace Karia na Katibu Mkuu Wilfred Kidao nitashukuru, moja kati ya mambo ambayo nitayafanya ni kuwaomba ikiwapendeza, basi wampunguzie adhabu Haji Manara kwa sababu sisi Yanga bado tunamuhitaji na mimi binafsi nahitaji kujifunza vitu vingi kutoka kwake.

Nitawaomba wa-deal na mazuri ambayo Haji Manara aliyafanya kwenye mpira wetu na yale mapungufu yake wayachukulie k**a sehemu ya ubinadamu.

K**a kuna nafasi hata ndogo ya kumpunguzia adhabu, sisi Yanga tutashukuru.

- Ali Kamwe []

30/09/2022

Simba mnatakiwa kupiga kura kwenye page rasmiWachezaji wa wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Septemba ni;
🇿🇲 Moses Phiri
🇿🇲 Clatous Chama
🇹🇿 Mzamiru Yassin

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Geita
Mwanza