Besca sports updates

Besca sports updates

Share

Football updates

21/07/2025

The lions 🦁

20/07/2025

Ili mioyo ya wanasimba itulie.
Tuletee Feisal na mudathirπŸ’ͺ

20/07/2025

Fainali ya CAF Confederation Cup inavyoitesa Simba.

Simba inaweza ikapoteza wachezaji wake nyota baada ya kuonekana kwenye mashindano ya CCC.

Baadhi tu ya Wachezaji hao ni

1. Kibu Denis anayetakiwa na USM Algiers.

2. Mohammed Hussein zimbwe Jr

3. Jean Charles Ahoua to Ufaransa

4. ELLIE MPANZU moja ya klabu kubwa hapa Africa na nyingine ya ubelgiji.

5. Che Malone Fondoh

6. Fabrice Ngoma

Hawa wote walikuwa wanaanza kikosi Cha kwanza Cha Simba

20/07/2025

Jean Charles Ahoua to Europe πŸ₯²

Huenda msimu ujao klabu ya Simba ikampoteza kiungo mshambuliaji wake Jean Charles Ahoua ambaye anatakiwa na klabu ya league 2 ya Ufaransa.

Tayari agent wake yupo nchini Ufaransa kufuatilia Dili Hilo, Endapo makubaliano binafsi yatafikiwa kati wakala wake na timu ndipo ofa itatumwa kwenye timu yake ya Sasa.

Ikumbukwe kwenye mkataba wa Ahoua Kuna kipengele kinamruhusu kuondoka Endapo ofa ya kwenda kwenye klabu nyingine kubwa itatumwa 🀭

19/07/2025

HAKUNA MCHEZAJI WA KUDUMU KWENYE TIMU.

Kuna wakati unatamani mchezaji flani abaki kucheza kwenye timu Yako pendwa Kwa muda mrefu kutokana na ubora wake au namna unavyomhusudu lakini haiwezi kuwa hivyo.

Mchezaji anaweza akaitumikia timu Kwa muda mrefu ila utafika muda ataondoka kwenye timu aidha Kwa yeye kutafuta changamoto sehemu nyingine au kupata maslahi zaidi au pia kutokana na mahitaji ya timu.

Mchezaji k**a Steven Gerrard aliitumikia Liverpool zaidi ya misimu 15 lakini mwisho wa siku akaondoka lakini hakutaka kucheza Epl ili asicheze dhidi ya timu yake. Hivyo mchezaji anapoondoka kwenye timu asichukuliwe k**a adui

19/07/2025

Hivi huyu Try again ni Simba au mluki wa Yanga?

Sina kumbukumbu ya kuona amevaa jezi ya Simba.

Nina wasiwasi huyu anatumika na Yanga kuizoofisha Simba πŸ₯²

19/07/2025

OGOPA MATAPELI

ELLIE MPANZU HAUZWI πŸ˜‚πŸ˜‚

Wazee wa kusajili wachezaji Kwa tetesi wameshaanza mara wamemsajili MPANZU Mara Mohammed Hussein πŸ˜†πŸ˜†

Mbona mnapata taabu sana πŸ˜†πŸ˜†

19/07/2025

Mi naona ilikuwa heri Chamou aondoke Che Malone Fondoh abaki.

Nini maoni Yako ?

Kuna wachezaji wanaachwa kwasababu ya presha ya timu na sio kiwango Cha mchezaji mwenyewe. No kweli Che Malone Fondoh amekuwa na makosa ya kujirudia lakini anauwezo mkubwa , kinachomuondoa Che Malone Fondoh ni presha TU ya timu.

Sizani k**a ilikuwa muda mwafaka wa Simba kumuacha Che Malone bali Simba inatakiwa iongeze beki mwingine ilikutoa challenge Kwa mabeki hao wa kati.

,

17/07/2025

Jean Charles Ahoua asipopewa tuzo ya kuwa mchezaji Bora wa ligi kuu ya Tanzania NBC premier league basi tuzo zitakuwa za mchongo. Namba zinambe

17/07/2025

Baada ya kikao kizito kujadili juu ya hatima ya msimu ujao

Boss Mo Dewji na boss Fadlu Devids wamekubaliana maboresho makubwa ya kikosi.
Yajao yanafurahisha Simba nguvu moja

03/10/2024

Ukiwaona hawa tu uwanjani ujue kazi unayo

03/10/2024

Ellie mpanzu πŸ€”

Hivi ndivyo alivyokaribishwa msimbazi mazoezini kwenye uwanja wa Mo ArenaπŸ₯°

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Mwanza