23/11/2025
K**a mlivyosikia...
Mpaka waseme Logo ya CAF Wameitoa wapi πππ
**ashariki
1.HABARIKA KISOKA KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA.π
2. FOOTBALL PUNDIT/MCHAMBUZI.β½οΈ
3. NEWS ANCHOR π°
23/11/2025
K**a mlivyosikia...
Mpaka waseme Logo ya CAF Wameitoa wapi πππ
**ashariki
23/11/2025
is
23/11/2025
Kikosi cha petro atico de luanda vs simba sc
23/11/2025
Kikosi cha simba Vs petro atico de luanda fc
TUNAENDA LUNCH NA DINNER KIDOGO WAKITUJIBU MTUTAGI.... Haha55 ππππ
Asa mbona wachambuzi walikaza shingo na fuvuvu kuzichambua JEZI hizi?????.....
Note; Ni ngumu sana kuitetea simba sc katika hili....
**ashariki
Imagine being prince DUBE
**ashariki
22/11/2025
π© π
πππ ππππ : CAF Champions League
YOUNG AFRICANS SC πΉπΏ 1οΈβ£βοΈ0οΈβ£ FAR RABAT π²π¦
β½οΈ 58" Dube
π»
MAMELODI SUNDOWNS πΏπ¦ 3οΈβ£βοΈ1οΈβ£ FC LUPOPO π¨π©
β½οΈ 04" Santos β½οΈ44" Wanet
β½οΈ 61" Allende
β½οΈ 78" Santos
**ashariki
22/11/2025
HT: yanga 0-0 as far Rabat
22/11/2025
Kikosi cha Yangasc Vs as far Rabat
21/11/2025
HAKIKA WACHAMBUZI WA SOKA WALIO WENGI HAPA TANZANIA WANATUMIWA NA MAPACHA WA KARIAKOO K**A MACHAWA...... Haha55 ππππ
1. Juzi Yanga wamezindua JEZI zao zitΓ kazotumika 'lakini wachambuzi wengi sana wamezichambua hizo JEZI za YANGA na kuzi Disvalue kuwa hazina ubora na wamekopi kutoka JEZI za Timu ya Taifa ya Brazil mwaka 2004, wengine wakaenda mbali zaidi wazifananisha na mfuko wa NJANO wa sukari ya kagera sugar. (Wachambuzi wanailinda simba )
2. Jana simba wamezindua nao JEZI zao za kimataifa, kwa kuweka logo za ktk JEZI wanazotumia Ligi kuu Tanzania BARA .. lakini wachambuzi haohao walioponda ubora wa JEZI za YANGA ndo wanasifia JEZI za simba ambazo ni zile zile za ligikuu
3. Wengine wakaenda mbali zaidi wanazilinganisha JEZI mpya za YANGA Africans sc na zile za simba sc ambao hawajatoa jez mpya zaidi ya kubadili logo ya mdhamini na logo ya CAF. Bidhaa mpya inashindanishwaje Γ±a Bidhaa kuku? Haha55 ππ (Wachambuzi wanatetea simba kutotoa JEZI mpya za )
4. Wengine wakaja na maandiko k**a GAZETI kwa kuelezea kuwa kampuni hizi; 1. Nike, 2. Puma 3. Adidas n.k huwa hazitoagi JEZI mara mbili ndani ya msimu (hapa wachambuzi wanatetea simbasc) Haha55 πππ
5. Wengine wakasema wanawapa nafasi mashabiki wasiopenda uwepo wa logo ya udhamini wa PILSONER k**a KILEVI Kwene JEZI za simba sc za Ligi kuu Tanzania BARA ... Haha55 ππ
6. Wengine vilabu vikubwa Duniani havitoagi JEZI JEZI mbili kwa msimu? But kwanini Barcelona wametambulisha JEZI mpya ya pili hapo juzi kati??? ... hizi agenda hazina mashiko sababu Timu zetu zinaongozwa na mapato yatokanayo na mauzo ya JEZI. ....... Haha55 πππ
NOTE; WACHAMBUZI WANATUMIA NGUVU KUBWA KUITETEA SIMBA ILE HALI WAMEKOSEAAA..... ALINUKULIWA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY AKIWAAMBIA WANACHAMA NA MASHABIKI WA SIMBA WAAANDAE ORDER YA JEZI MPYA ZA
HONGERENI SANA WANANCHIIIIIIIIIIIII YANGA AFRICANS SC KWA KUZINDUA JEZΓ MPYA ZA
**ashariki
21/11/2025
KUSEMA UKWELI SIO DHAMBI BALI NI UKOMAVU...
"Nikiwa zangu huku mbali bado ninafuatilia mijadala kuhusiana na Jezi za kimataifa kwa timu zetu pendwa na pasua kichwa hapo Bongo..
Ni ukweli usiopingika kuwa siku za karibuni kumekuwa na utamaduni wa kuzindua jezi katika awamu mbili endapo timu itafuzu kucheza hatua ya makundi katika michuano ya Afrika iwe klabu Bingwa au kombe la Shirikisho..
Yanga walianza na kutangaza watazindua siku ya Jumatano huku Simba wao wakizindua Alhamis hii.
Achana na ubora au nani katoa jezi kali ni kawaida kuona ushindani uliojaa utani ndani yake lakini hili la kuzindua jezi ile ile na kuamua kubadili logo na wadhamini halipo sawa na haliwezi kupata utetezi wa kiwango cha lami kutoka kwa wazee wa kutembelea fursa kwani kufanya hivyo ni kujichoresha na kujipunguzia hadhi kuliko pitiliza.
Nimeona watu wakijaribu kuhamisha upepo eti Mdhamini aliyepo huwa anatoa jezi moja tu kwa msimu! Haya tufanye ni sawa, sasa kwanini mlitangaza kutakuwa na uzinduzi wa Jezi za Michuano ya kimataifa? Au ni uzinduzi wa Nembo ya CAF kukaa begani na kumtoa Mdhamini wa awali na kuweka mpya? is it serious?
Mliposema wafanyabiashara waweke order mlisahau kuwa jezi ni zile zile ambazo bado zipo madukani zikisota kununuliwa?
Sasa fikiria mtu alikuwa na mzigo wa mwanzo ambao haujakata na tayari umemtangazia alipie mzigo mpya, analipia kumbe unaenda kumuongezea mzigo ule ule ambao anapambana nao kuumaliza walao arudishe pesa ya mtaji,Je kwa hili ni sawa? na bado wapo wanaotetea hili haumuoni mnategeneza mahusiano mabaya na kupoteza kuaminika kutoka kwa wateja wenu wa jezi za jumla.?
Ngoja niwaambie kitu sio kila wakati ni kutafuta pa kujifichia wakati mwingine kuweni wakweli ili k**a kuna changamoto mzitatue ili timu isonge mbele na kwa wale mnaoendekeza maelekezo kwa kujipatia ujira jitahidini kuwaza na kesho kwani njaa ipo tu haiishi mpaka siku tunarudi kwa aliyetuumba..
Katika hili mmepuyanga sana ni vema mkatoka na kuomba radhi kwa wafanyabiashara,mashabiki wenu na wadau wote wa Soka."
Ameandika Mchambuzi wa soka kupitia ukurasa wake wa Instagram
19/11/2025
TUZO ZA CAF 2025
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga , Clement Mzize ametwaa tuzo ya goli bora la mwaka 2025 barani Afrika .
Mkwaju wa mbali ambao alimtungua golikipa wa klabu ya TP Mazembe .
Hongera sana πͺπΏπ₯ .. hii umeua baba.
NOTE; πππ
Hili goli la mwaka CAF CHAMPIONS LEAGUE 2025, sio CAF Confederation cup ..Haha55 ππππ