28/01/2025
Hello mwanza! We have exciting news !! Take your valentine to an unforgettable evening! Come to watch live amateur boxing matches Friday February 14th β€οΈπ₯π₯ event will be held at the MTC (bwalo la jeshi) right before Nyegezi corner, just before uhuru parking and across the street from royal oven Nyegezi. Doors open at 6pm. Tickets are available now and also at the gate, VIP 25,000 and general 10,000, limited amount of VIP tickets availible so reserve yours now ! Contact me 0762788750
Habari jamani! Tuna habari njema na ya kusisimua!!Hakikisha unasherekea usiku wa valentine kipekee zaidi!
Karibu kutazama moja kwa moja mechi za mchezo wa ngumi za wazi Februari 14 β€οΈπ₯π₯ zitakazofanyika katika ukumbi wa MCT(Bwalo la Jeshi) uliopo eneo la Nyegezi Kona Nyamagana Mwanza.
Kuanzia saa 6:00 jioni. Tiketi zinapatikana VIP 25,000 na mzunguko ni 10,000.
Kwa Mawasiliano zaidi 0762788750.
Karibu sana.
17/05/2024
Womenβs kickboxing π¦΅π₯
26/04/2024
Karibuni kuangalia Pambano la mchezo wa ngumi ambalo linatarajia kufanyika siku ya Jumamosi Tarehe 04.05.2024 kuanzia saa 12:00 Jioni Katika Eneo la Bambino lounge Iseni Mwanza,hakikisha unapata ticket yako mapema kwa VIP 15,000/= na Kawaida 5000/=
Tiketi zinapatikana Maeneo Yafuatayo:
Bambino Lounge Iseni Mwanza
Passion Hotel (Karibu na Stendi ya Mabasi Nyegezi)
Fitnix Gym Maeneo ya Nyakato na Mgonja Sport centre Mwanza Karibu na Round about ya Samaki Mwanza.
Kwa Mawasiliano zaidi:0762788750
KARIBUNI SANA
19/04/2024
Boxing competition may 4th at bambino lounge(next to tanzanite hospital) in Iseni, Mwanza. Tickets availible now for 5,000 for general admission, and VIP 15,000, pick up locations are:
maxfit gym - majengo mapya, nyegezi
Passion hotel - (across from Nyegezi bus stand)
Bambino lounge- Iseni next to Tanzanite hospital
Fitnix gym - nyakato (admire petrol station)
Mgonja sports shop - town (near samaki
roundabout next to protas supermarket )
BUY EARLY and SAVE! At the door general admission is 10,000 and VIP is 20,000