SOKA kitaani

SOKA kitaani

Share

sports updates, betting (2_5)odds
Taarifa za soka ,mikeka odds 2_5

03/09/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Yamie Wa Anamoyo Chisoni, Ata Mata, Pembe Shabani, Charles Marwa, Adenias Crian, Daniell Mbawala, Nezia Hedimeni Enelesit, Ndagabwene Manyasi, Ezekiel Dominicus, Ezeking Janser, Fadhil Mtenga, Chifu Mkanj, Mboleka Sadi, Ni Collo, Aman Mbwambwo, Salafina Elisha, Issa M Sinai, Abuu Omaliy, Deej Marley Ke, Nancy Nyamboke, Hadja Happy, Kashinje John, Rahimu Athman, Ninziza Theogene, Boonii Wallaggaa, Cyprian Damian

03/09/2026

๐ŸšจUnaingia mtandaoni na stress za mwenye nyumba na madeni ya mangi,

Ghafla tu unakutana na utambulisho wa jezi, kutoka kwa Fabrizio Romano.

Ujeuri tu wa Wananchi na kujiamulia mambo,

Kwa miaka yangu michache ya kuishi duniani, natambua Yanga Wana sifa tatu..

1. Exclusivity, kwao habari hazivuji k**a nyumba yenye wapangaji walevi,
Utajua wanachotaka ujue, kwa muda wao.

2. Creativity, kwao ubunifu ni Kila kitu, wewe ukitegemea watatambulisha Jezi na mamodo wa Sinza, wao wanavuka mpaka kwa Fabrizio Romano, Ubunifu.

3. Misifa ujeuri na kukera, Jezi kali, utambulisho wa kutisha, afu wanaiba attention yote ya social media.

Yanga, Club above All๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅโšก
Hii ni hatari sana wakuuu โœ…๐Ÿ˜‚

Nb; Ni vile tu hamtaki kuambiwa ukweli kuwa hii timu inakwaza

31/08/2026

Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya michezo ya leo.

Wananchi, k**a kawaida yao, wameendelea kusalia kileleni.

31/08/2026

Ni ndoto ya kila mshambuliaji Tanzania kucheza na Aziz Ki.

Kila mshambuliaji anahitaji huduma na malisho bora na miguu ya Aziz imebarikiwa huo utajiri.

Vision,quick-thinking,timing ya kuachia pasi na Good Positioning awareness vinamfanya Aziz kuwa tishio uwanjani.

Mechi ya kwanza tayari Shasha amenufaika na assist ya Aziz Ki.

Bado hayuko sawa kwa 100% ila assist zimeshanza

Wakati umefika kushuhudia combo ya shashaman na Mr Ki

31/08/2026

Shalulile,๐Ÿ˜โšก

28/08/2026

Let's goooo

27/08/2026

Congratulations ๐ŸŽ‰

27/08/2026

Top 20 weekend tipsโœ…๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅ

27/08/2026

๐Ÿ˜๐Ÿ˜โœ…

27/08/2026

Aziz Bado tusubiri kumwona baada ya mechi mbili.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Mwanza