23/09/2022
Kuna hili jamaa moja linaitwa shomvi linajua kuandika makala ndefu Kwenye Instagram ndio atanishusha mimi hata kesho naweza kufanya kazi pale na ndio nikawa bosi wake.Binafsi mimi siwezi kumpongeza huyo aliyeteuliwa Caf Ila binafsi siwezi kukosa kwenda kumkimbilia Kwenye matatizo na ndio maana hata Kwenye msiba wa mama yake nilikuwepo Mimi siwezi kuwa mnafki,😂
Eti ndio wanapamba wenyewe kwa kudanganya ndio atakuwa anapanga ratiba.Lazima wajue kazi yake yeye ni kwenda kupitisha tu ratiba mbona Kuna kamati nyingi tu za nyuki,,misitu ndio hiyo waone cha ajabu.😂
Ila msiwashangae sana ndio akili zao.Nimekaaa na Fans wa Simba na Yanga,,binafsi mashabiki wa Yanga wapo royal sana na naawahidi kuelekea mchezo wetu dhidi ya Al hilal nitakwenda kufanya promo kupitia socila media yangu kwa kuwaita washangiliaji kuja uwanjani kushangilia mwanzo mwisho.🤝🟡🟢
Via haji manara