Emmanuel Sadiki;, Afya ya mifupa na maungio.

Emmanuel Sadiki;, Afya ya mifupa na maungio.

Share

Tunatoa elimu juu ya afya ya mifupa na maungio, ushauri pamoja na suluhisho la changamoto za mifupa

14/12/2023

Usihuzunike Wala kuhangainga na maumivu ya viungo
Tunalo suluhisho.
Tupigie 0674574152(sms/whatsapp)

12/01/2023

Upe haki mwili wako, uondolee maumivu yake, usiruhusu maumivu yawe sehemu ya maisha yako, kuna suluhisho.









tupo kwa ajili ya kurejesha afya yako njema, huduma zetu ni za bei nafuu, zenye uhakika na zenye guarantee.

09/01/2023

Usiruhusu ufike katika hali hii, wahi usaidiwe, suala la kuwekeza kwenye afya yako ni lako binafsi.

09/01/2023

Hakikisha unaishi bila maumivu ya mifupa na maungio, tumedhamiria kukupa suluhisho la kudumu, kumbuka huduma yetu Ina guarantee, karibu sasa uhudumiwe popote ulipo Kona zote za Tanzania.

09/01/2023

Habari za asubuhi, umeamkaje Leo?, Je, unahisi maumivu sehemu ya mwili wako?, Kumbuka aina ya godoro unalotumia linaweza changia hali hii, Je unatumia godoro gumu, la kati au laini?

05/01/2023

2023 ni mwaka wa kuhakikisha kile unachokipenda unakipata kwa spidi yote, nguvu zote na upendo wote...imarisha misuli, maungio na mifupa yako utimize ndoto zako, afya yako kwanza!

01/11/2022

Ni November sasa, siyo lazima kuendelea kuishi kwa maumivu katika mwili wako, maumivu hayazoeleki, lipo suluhisho juu ya usumbufu katika afya yako ya mifupa na maungio.

06/09/2022

Afya yako, mtaji wako...hakikisha mfumo wako wa mifupa na maungio uko poa. Ushauri na suluhu la changamoto za mifupa na maungio tupo wazi tena kuanzia sasa

14/06/2021

Wengi wamekua wakijiuliza kwa nini shingo ikiuma kichwa huuma pia, jibu ni wazi kuwa mishipa ya fahamu ya kichwa hupita maeneo ya shingo pia: ajali au position mbaya ya shingo wakati wa kukaa, kumeguka kwa pingili za shingo kwa sababu mbalimbali pia pingili kuchomoza ni baadhi ya sababu za shingo kuuma, umekua mhanga wa hili?

07/05/2021

Je wajua?, Licha ya madhara yatokanayo na uzito uliozidi/kitambi, hali hii pia huathiri afya yako ya mifupa na maungio?

14/04/2021

Sciatica ni maumivu ambayo hushuka hadi kwenye unyayo, wakati mwingine husikika k**a paja au mguu unawaka moto, pingili za uti wa mgongo kutokaa sawa ndio chanzo,. Wahi nasi tutakuhudumia #0674574152

11/04/2021

Hivi ndivyo maumivu makali ya goti hutokea pale ambapo cartilages zinalika au kusagika na kuiacha mifupa ikigusana, sababu ni nyingi ikiwemo umri mkubwa, ajali, lishe duni nk, hata hivyo lipo suluhisho!, Umekua ukisumbuliwa na maumivu ya mgongo, shingo, kiuno au maungio sehemu mbalimbali za mwili?, pole ila furahi kwani maumivu yamepata suluhisho! #0674574152 utasaidiwa.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Nyegezi Mwanza
Mwanza
199169