21/11/2023
FT: Tanzania 0 - 2 Morocco
Kwa maoni yako, nini hakikuenda Sawa hadi kupelekea Taifa Stars kupoteza .chezo wa leo!
Pata Habari za Michezo, Matokeo, Misimamo ya ligi, Tetesi za usajili na Ratiba za mechi mbali mbali ndani na nje ya Tanzania
21/11/2023
FT: Tanzania 0 - 2 Morocco
Kwa maoni yako, nini hakikuenda Sawa hadi kupelekea Taifa Stars kupoteza .chezo wa leo!
21/11/2023
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza leo dhidi ya Morocco
Kila la kheri TAIFA STARS π
07/11/2023
BREAKING NEWS
KIMEUMANA HUKO MITAA YA MSIMBAZI.
BYE BYE ROBERTINHO...!!!!
30/10/2023
AITANA BONMATI ASHINDA TUZO YA (BALLON D'OR) MCHEZAJI BORA WA MWAKA KWA WANAWAKE
CLUB: BARCELONA
TAIFA: UHISPANIA
Hongera sana kwa kazi nzuri
30/10/2023
BREAKING NEWS:
LIONEL MESSI ANYAKUA TUZO YA NANE (8) UCHEZAJI BORA WA DUNIA. BALLON D'OR
GOAT
15/06/2023
HIKI HAPA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
Kocha wa timu ya Taifa Tanzania ametangaza kikosi cha wachezaji 30 kitakqchoingia kambini kujiandaa na michuano ya kufuzu AFCON.
MAGOLIKIPA
01. Metacha Mnata - Yanga SC
02. Beno Kakolanya - Simba SC
03. Vuai - KMKM
04. Zuberi Foba - Azam.
MABEKI
05. Datus Peter - Kagera
06. Dickson Job - Yanga SC
07. Kibwana Shomari - Yanga SC
08. Bakari Mwamnyeto - Yanga SC
09. Ibrahim Bacca - Yanga SC
10. Zimbwe Jr - Simba SC
11. Kennedy Juma - Simba SC
12. Novatus Dismac - Zulte, Ubelgiji.
13. Abdi Banda - Chippa Utd, South Africa
14. Lameck Lawi - Costal Union
VIUNGO:
15. Himid Mao Mkami (Ghazl, Egypt)
16. Adolph
17. Aziz Andabwile (Singida)
18. Mzamiru Yassin (Simba)
19. Mudathir Yahya Abas (Yanga)
20. Ayoub Idrissa Bilal (Ankara, Uturuki)
21. Ben Starkie (Basford Utd, England)
22. Morris Abraham (Spartak Subotica, Serbia)
WASHAMBULIAJI:
23. Simon Msuva (Al Qadsiah, Saudi)
24. Abdul Suleiman Sopu (Azam)
25. Kibu Dennis (Simba)
26. John Tiber
27. Bernard Kamungo (FC Dallas, USA)
28. Adi Yusuph (Brackley Town, England)
29. Mbwana Samatta (Genk, Ubelgiji)
30. Daud Raphael Loth (Ihefu Fc)
Adel Amrouche, Kocha wa Taifa Stars.
Nini maoni yako kutokana na hiki kikosi βοΈπ½
26/03/2023
The African Super League
Pot 1:
πͺπ¬ Al Ahly
πΏπ¦ Mamelodi Sundowns
π²π¦ Wydad Casablanca
πΉπ³ ES Tunis
Pot 2:
πΉπΏ Simba SC
π¨π© TP Mazembe
π¦π΄ Petro Luanda
π¬π³ Horoya SC
* Michezo itachezwa Numbani na Ugenini.
* Timu ya Pot 1 atakutana na timu ya Pot2, Pot1 hawezi kukutana na Pot1 na Pot2 hawezi kukutana na Pot2 mwenzake.
Unatamani kuona Simba ikikutana na timu gani kutoka Pot 1?
ROBO FAINALI ASFC π
βΎ Simba SC π Ihefu SC
βΎ Singida BS π Mbeya City
βΎ Yanga SC π Geita Gold
βΎ Azam FC π Mtibwa Sugar
NUSU FAINALI ITAKUA .
@ Mshindi Kati ya Simba SC Vs Ihefu SC atakutana na Mshindi Kati ya Azam Vs Mtibwa Suger
@ Mshindi Kati ya Yanga SC Vs Geita Gold atakutana na Mshindi Kati ya Singida BS Vs Mbeya City
Upi utakua mchezo wa kuvutia zaidi kuanzia Robo fainali na Nusy Fainali?
30/01/2023
Klabu ya Yanga SC imeingia mkataba wa udhamini wa Tsh bilioni 1.5 na kampuni ya vifaa vya Kielekroniki ya HAIER ambayo itakuwa mdhamini wa klabu hiyo katika michuano ya Shirikisho la Shirikisho Afrika hatua ya Makundi.
Inaelezwa kuwa Yanga imefikia hatua hiyo kwa kuwa mdhamini wake SportPesa haruhusiwi kwenye michuano ya CAF kwa kuwa ni kampuni ya kubashiri (betting)
Hivyo Wananchi wamelazimika kuingia mkataba wa muda mfupi na Kampuni hiyo lakini mkataba wao na SportPesa bado uko pale pale.
30/01/2023
YANGA YAZINDUA JEZI MPYA
Bue - Jersey ya Nyumbani
Kijani - Jersey ya Ugenini
Njano - Jersey namba tatu
Jersey hizo ni Special kwa ajili ya mashindano ya Kimataifa, zitatumika katika Mashindano ya kombe la Shirikisho barani Africa.
Mnaizungumziaje Jersey hizo??? Ipi kali??
13/07/2022
MATOKEO MECHI ZA LEO
LIGI KUU TANZANIA CHINI YA MIAKA 20
Timu zilizotinga hatua ya Nusu Fainali.
Mbeya kwanza
Azam
Coastal Union na
Mtibwa Sugar
Simba na Yanga zafungasha virago.
13/07/2022
RATIBA YA GAME ZA LEO
13/07/2022 - Jumatano
LIGI KUU TQNZANIA CHINI YA MIAKA 20
HATUA YA ROBO FAINALI