SEASON 2 IMEIVA 🌧️
Msimu uliopita Simba aliwapa somo.
Msimu huu Mashujaa wanasema: "Tumejiandaa"
Je, Mnyama atawinda tena?
Au Mashujaa watakuwa wepesi?
Comment "🦁" k**a upo na Simba
Comment "⚔️" k**a upo na Mashujaa
ISMA MEDIA INAKUPELEKA LIVE
Isma
Idara ya michezo / analysis za soka 🟩
10/05/2026
MATOKEO YA ULAYA | MEI 10, 2026 ⚽
Arsenal kashinda 1-0 ugenini dhidi ya West Ham 🔥
Mechi zingine zote SARE:
🤝 Burnley 2-2 Aston Villa
🤝 Palace 2-2 Everton
🤝 Nottm Forest 1-1 Newcastle
Mashabiki wa Arsenal: Mko bize au bado? 😅
Mnaona ubingwa unawezekana msimu huu?
Comment maoni yako 👇
ISMA MEDIA | IDARA YA MICHEZO
10/05/2026
Usiniangalie kimya kimya 😏
Nina swali moja tu kwa mashabiki wa soka Tanzania:
Kati ya Simba na Yanga, timu gani ina kikosi bora 2026?
Nitajibu live kesho saa 3 usiku.
ISMA MEDIA | IDARA YA MICHEZO - Tumeanza rasmi.
10/04/2026
𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐀𝐓𝐀𝐎𝐍𝐆𝐄𝐀!
11.04.2026 | Saa 2:00 Asubuhi
Daha kauwa sana
Bibi kimemlamba follow 👉 isma
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Mwanza