Arlon SportsXtra

Arlon SportsXtra

Share

football

09/03/2025

Darwin Nunez✍️
Ni mchezaji wa Team ya taifa ya Uruguayi (Uruguay) ndiye namba 9 wa timu inayoongoza ligi kuu nchini Uingereza (EPL) na jana kafunga goli lake kwenye mechi dhidi ya watakatifu Southampton
Mpk hivi sasa msimu huu kweny PREMIER LEAGUE mwamba ana goli zake tano (5) na amesaidi kwenye upatikanaji wa magoli mawili (2) (Two Assists)......

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Arlonmarley056@gmail. Com
Mwanza