06/05/2026
π© π
πππ ππππ : UEFA Champions League SF (AGG 5-6)
BAYERN MUNICH π©πͺ 1οΈβ£βοΈ1οΈβ£ PARIS SAINT GERMAIN π«π·
β½οΈ 90+4" Kane β½οΈ 03" Dembele
π¨ OFFICIAL Paris Saint Germain itacheza Fainali na Arsenal..
06/05/2026
Moja la faida kwa Mnyamaβ¦!!!
FT: Simba 1-0 JKT Tanzania
Inafuata Mtibwa Sugar vs Dodoma Jiji saa 2:30 usiku LIVE
06/05/2026
Kwanini Yanga wamemfukuza Kocha Pedro GonΓ§alves?
Amecheza mechi 21
Amekusanya alama 51.
Amefunga mabao 47.
Amefungwa mabao 5
Hajapoteza hadi sasa.
Anaongoza Ligi!
Ni Tanzania peke Kocha mwenye takwimu k**a hizi anaweza kufukuzwa na Club.
Steve Champion
06/05/2026
π© ππππ
ππππ : NBC Premier League πΉπΏ
SIMBA SPORTS CLUB 0οΈβ£βοΈ0οΈβ£ JKT TANZANIA FC
06/05/2026
GOOOAL........Okello
65" KMC FC 0οΈβ£βοΈ1οΈβ£ YOUNG AFRICANS SC
06/05/2026
π© π
πππ ππππ : NBC Premier League πΉπΏ
KMC FC 0οΈβ£βοΈ1οΈβ£ YOUNG AFRICANS SC
β½οΈ 65" Allan Okello
06/05/2026
Bao la alilofunga Chama dhidi ya Yanga limeendelea kupigiwa chapuo kushinda Tuzo ya Fifa ya Puskas Award!
PuskΓ‘s Award ni tuzo maalum ya soka inayotolewa kila mwaka na FIFA kwa mchezaji aliyefunga goli bora zaidi duniani katika kipindi husika.
Tuzo hii imepewa jina la Ferenc PuskΓ‘s, ambaye alikuwa mmoja wa washambuliaji bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya soka.
Mitandao mbalimbali ndani na nje ya Afrika imeribaki bao hilo kuwa bao bora la Dunia katika tuzo za Fifa.
Hili bao wakileweka kwenye Category ya bao bora tu hiyo Tuzo imeenda kwa Chama.
Steve Champion
06/05/2026
Kwa hiyo k**a PSG watatinga fainali Ben White akumbana na Khvicha Kvaratskhelia.
Na k**a Bayern Munich watandinga fainali basi Ben White atakabana sana na Luis DΓaz.
Kati ya Kvaratskhelia na Diaz ni bora akutane na yupi hapa k**a ataanzishwa upande wa kulia?
Au Timber ndiyo kiboko ya wote hapo.
06/05/2026
Baada ya Pape Ousmane Sakho kuchukuwa tuzo ya bao bora la mwaka kwa Afrika (CAF) akiwa Simba SC mwaka 2022.
Huwenda sasa ikawa ni zamu ya Clatous Chama kubeba tuzo ya goli bora la mwaka duniani akiwa na Simba SC mwaka huu.!π
Dunia nzima sasa inalizungumzia bao lake..! Na wengi wao wanasema kuwa linastahili kuingia kwenye FIFA PUSKAS AWARD.
Je, kwa mtazamo wako hili goli linastahili kuingia kwenye kinyangβanyiro cha kuwania tuzo ya bao bora la mwaka ( FIFA PUSKAS AWARD)...? π€
06/05/2026
π¨RATIBA YETU LEO VIWANJANI 06 MEI JUMATANO 2026 IKO HIVI π₯° β½
πΉπΏ 16:00 - KMC FC βοΈ Young Africans SC
πΉπΏ 18:15 - Simba Sports Club βοΈ JKT Tanzania FC
π 22:00 - FC Bayern Munich π©πͺ βοΈ Paris Saint Germain π«π·