14/05/2026
GOOOAL......Chama
08" MASHUJAA FC 0️⃣➖️1️⃣ SIMBA SPORTS CLUB
Mnauwqkika huyu chama ni Mzee kweli ?
Mpira Live
14/05/2026
GOOOAL......Chama
08" MASHUJAA FC 0️⃣➖️1️⃣ SIMBA SPORTS CLUB
Mnauwqkika huyu chama ni Mzee kweli ?
14/05/2026
Chamaaaaaaaa !!! We Chama unafanya nini hapa Lake Tanganyika oooh Corner ndani Chama anafunga !!
Mashujaa 0-1 Simba SC
14/05/2026
"...Sikuwa nataka kushangilia kupitiliza sababu tunajua kuna life baada ya football. Ila nilifanya vile sababu wakat nafanya warmup kulikuwa na shabiki mmoja alikuwa ananitukana bila sababu so sikupend kile kitendo na nilipofunga nilikimbilia alipokuwa amekaa. "
🔎Waziri Junior
Mshambuliaji wa Dodoma Jiji
14/05/2026
🚨 Baada ya Ushindi wa mabao 5-3 Usiku wa kuamkia Leo dhidi ya Cincinnati kutoa Asisst moja na kufunga mabao mawili Lionel Messi sasa amefikisha mabao 909 kwenye maisha yake ya soka. 🐐
🏟 Michezo - 1153
⚽️ Mabao - 909
🎯 Asisst - 411
⚽️🎯 Mabao/Asisst - 1320
14/05/2026
NBC Premier League leo Alhamis
Mechi nne kupigwa, mnyama Simba SC na matajiri wa jiji Azam FC dimbani
Je, nani kuondoka ama kudondosha alama tatu?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.
13/05/2026
‘Unbeaten is over’;
Kwa mara ya kwanza Dodoma Jiji wanapata ushindi dhidi ya Yanga.
FT: Dodoma Jiji 3-2 Yanga SC
inaendelea LIVE na
13/05/2026
🗣️ FULL TIME !
⌛ Dodoma Jiji FC 𝟑-𝟐 Young Africans
➨ 1st Half : 1-2 | 2nd Half : 2-0
⛳1-7 🟨3-1 🎯5-17
🇹🇿
Wananchi wanasema Tumeshapata goli la PUSKAS kupitia kwa Alan Okello Star Boy😃 au CLETUS CHOTA CHAMA triple C?