29/09/2026
SATETA FC -kutokea Chiganga aliibuka mshindi wa tatu wa Mashindano ya UWP SUPER CUP 2026 . Pichani ni mwakilishi wa Timu ya Sateta FC akikabidhiwa zawadi kitita cha shilingi LAKI TANO (500,000/=) na Mgeni Rasmi Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Nachingwea Fadhili Liwaka siku ya Fainali zilizofanyika katika kijiji cha Kipara Mtua uwanja wa UWP