02/09/2026
Afisa habari na msemaji wa
Newala jogging and fitness club
Anawakaribisha wageni wote kwenye
bonanza litakalofanyika tar27.09.2026
Kwa mawasiliano
📞 0659 992 875
Newala jogging bonanza,
Season one💯💪
01/09/2026
Wakali wa hii kazi..
wakali wa kusini😎
Karibuni sana ndugu zetu
01/09/2026
Kunewala kuchele!!
Karibuni sana
ndugu zetu wa ilala.
Newala jogging and fitness club
Bonanza season one
🤝👊
01/09/2026
Vanu mwanda!!!! Mabibo tayari
Karibuni sana ndugu zetu wa
Newala jogging bonanza,
Season one✊
01/09/2026
Tabasamu la mabarozi
kuelekea bonanza letu
27.09.2026
Newala jogging and fitness club
Bonanza season one.
28/08/2026
Teja bonanza season 5,
Tutakuwepo🦵🏃♂️
11/08/2026
BIG BONANZA SEASON ONE 🔥🔥🔥🔥.
Tarehe 27/9/2026 ni zamu ya watoto wa kule kusini mwa Tanzania, Newala jogging and fitness club🔥🔥🔥🔥
Kwa pamoja tunasema Newala tumeitika, VISIT SHIMO LA MUNGU🔥🔥🔥🔥.
06/08/2026
BIG BONANZA SEASON ONE 🔥🔥🔥🔥.
Waiteeee !!!!!!!!!! Kaskazini, Mashariki, Magharibi na Kusini kwa ujumla tarehe 27/9/2026 Newala jogging and fitness club inakuja kuandika historia mpyaaaaa ndani ya viunga vya Newala 🔥🔥🔥🔥.
Tarehe 27/9/2026 Kwa pamoja tunasema Newala tumeitika, VISIT SHIMO LA MUNGU 🔥🔥🔥🔥.