Igongolo FC

Igongolo FC 🦅 IGONGOLO FOOTBALL CLUB 🔵
TUKIPAA, HATUSHUKI.
⚽ Tangu 2005 | Nguvu • Umoja • Ushindi
🏆 MABINGWA WATETEZI WA SWALE CUP
💙 Tunapigania heshima ya Igongolo.

jana tulitoa sale na mtwangotunajiandaa na mechi ijayo dhidi ya kichiwa🦾💪💪
31/08/2026

jana tulitoa sale na mtwango
tunajiandaa na mechi ijayo dhidi ya kichiwa🦾💪💪

30/08/2026

half time igongolo 01-00 mtwango

hongera beki wetu kwa kuoa...💥💢
29/08/2026

hongera beki wetu kwa kuoa...💥💢

ratiba ya lligi imetoka.👊 j pili tunaanza kazi
25/08/2026

ratiba ya lligi imetoka.👊 j pili tunaanza kazi

tunajiandaa hatua inayofuata💪💪💪💪
22/08/2026

tunajiandaa hatua inayofuata💪💪💪💪

Matokeo ya mechi zote tulizocheza igongolo football club  Tuna point 11..💪💪💪Follow Igongolo FC kwa taarifa zaidi
13/08/2026

Matokeo ya mechi zote tulizocheza igongolo football club

Tuna point 11..💪💪💪
Follow Igongolo FC kwa taarifa zaidi

Tulirudi na ushindi💪💪💪
11/08/2026

Tulirudi na ushindi💪💪💪

Jana tuliibuka na ushindi wa bao ⚽️⚽️⚽️⚽️4 kwa moja ⚽️1 dhidi ya itipingi tunajiandaa na mchezo ujao💪💪.......Mabao yalif...
09/08/2026

Jana tuliibuka na ushindi wa bao ⚽️⚽️⚽️⚽️4 kwa moja ⚽️1 dhidi ya itipingi tunajiandaa na mchezo ujao💪💪.......Mabao yalifungwa na

Jose ⚽️⚽️
Kadreza⚽️⚽️
..... onyesha support kwa kuifollow hii page ili usipitwe na taarifa zaid🙏🏾🙏🏾

Address

MAKAMBAKO,IGONGOLO
Njombe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Igongolo FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category