Unatabili nini katika msimu ujayo kwa ligi zote???
Nobert AMOS
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nobert AMOS, Sports Event, Shinyanga.
Washabiki wa MANCHESTER UNITED leo waumizaa na mabingwa wa UEFA real madrid kwa 2-1
How about yesterday metch
weekend mwanana siku ya jpili kwa wanasoka wote ni kati ya REAL MADRID VS ATLETICO DE' MADRID, je unatabilije mpambano huo?
MAN U na MAN CITY zashinda uefa lakn CHELSEA na ARSENAL zapoteza mchezo
weekend mwanana ni bonge la show game kati ya SIMBA vs YANGA kwenye uwanja wa Taifa saa 10 jioni, je nani mwana yanga rasm au mwana simba rasm? onyesha uzalendo wako wa ushabiki
vp wapinzani wa chelsea mtatoka kwa man city siku ya jpili maana hata goal keeper wenu amepigwa red card, ila polen sana
Ipi ni ligi bora hapa dunia kati ya hizi?
England-
Hispania-
Ujeruman-
Ufaransa-
Itary-
Ureno-
toa jibu mapema ujishindie vocha ya sh elf 5, ukitaja jb toa sababu mbili kutetea jb lako from bingwa wa sport
kuwa mzalendo na mfuatiliaji wa soka kila muda kupitia hii blog, kupata ratiba ya mechi kila siku link, http://www.sportlive.tv piga hyo tovt kupata mechi zote zinazochezwa kila siku dunian
ligi pinzani ya england ndiyo hiyo imeanza washabiki wote wa soka kaeni macho kufuatilia kila weekend LIVE ON SUPERSPORT S3 ONLY
Click here to claim your Sponsored Listing.