19/07/2026
Goli la Ferran Torres dakika ya 106 limeiwezesha Uhispania kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia 2026 mbele ya Argentina iliyoongozwa na, hivyo kubeba kombe hilo mara ya pili, awali kufanya hivyo Mwaka 2010.
Asilimia kubwa ya mchezo huo wa fainali ilitawaliwa na Uhispania ambapo hadi dakika ya 90 matokeo yalikuwa 0-0. Enzo Fernandez wa Argentina akipewa kadi nyekundu dakika ya 90, hivyo kuifanya timu yake kucheza pungufu katika dakika 30 za mwisho.
Ushindi huo ni k**a unamaliza enzi za Messi (39) ambaye inawezekana akawa amecheza michuano yake ya mwisho ya Kombe la Dunia akiwa na jezi ya Argentina, kwa kuwa michuano ijayo itachezwa Mwaka 2030