02/02/2025
RASMI ILE TAREHE YA KUJA KUOGA MAJI YA ILIKI, KUNYWA CHAI ILIYOPIKWA NA SIO KUCHEMSHWA CHAI YA N**I
SIKU YA KUJA KUHESABU BARABARA ZOTE 21 ZA NAMBA
SIKU YA KULOWEKWA NGUO,SIKU YA KUVAA MSULI NA RABA
SIKU YA KUONA NGOMA ZA BAIKOKO,MSANJA NA MDUMANGE
MOJA YA SIKUKUU KUBWA YA MCHEZO WA JOGGING KATIKA MKOA WA TANGA...
TUPO TAYARI TANGAAAA MIJIRAHAA TU......
23/05/2024
TAARIFA MUHIMU KWA WANACHAMA NA WADAU WETU WOTE
26/04/2024
Kuelekea harusi kubwa ya Taifa ya Wanachama wetu MSENGI na BI KHADIJA siku Jumapili Tarehe 28 April.... Shughuli inaanza kesho tutakimbia route na shangwe maalum la kuelekea harusi kubwa
Hakikiisha hukosi hii shangwe la maaana kabisa
Tutakuwa vilabu jirani vya MKWAKWANI FITNESS na BOMBOKA JOGGING
29/12/2023
MWANZO MPYA 2024
LOADING....... KAA TAYARI..... !!!!!!
19/12/2023
Club yako pendwa imeingia kwenye kinyanganyiro Cha kuwania tunzo ya club bora ya jogging Kwa mwaka (BEST JOGGING CLUB IN RURAL AREAS) kuanzia kesho Tarehe 20 utaweza kuanza kupiga kura
Cha kufanya download application inaitwa DEBA Kisha Jisajili uweze kuipigia club kura nakuweza kushinda tuzo hii
21/07/2023
NA SISI WAZALENDO WA NCHI TUMEFIKA KILELENI CHA MLIMA MREFU BARANI AFRIKA MLIMA WA KILIMANJARO🇹🇿