officialkonta_jr

officialkonta_jr

Share

HISTORIAN.

17/03/2025
22/11/2024

Tuzo ya mchezaji bora wa mchezo [ Man of the match] imekwenda kwa Leonel Ateba, mchezaji kutoka Simba SC kwenye mchezo dhidi ya Pamba Jiji.

,

24/10/2024

Kocha Juma Mgunda ametangazwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Namungo, akichukua nafasi ya Mwinyi Zahera aliyebadilishiwa majukumu na kuwa mshauri wa benci la ufundi.

Mgunda amewahi kuvinoa vikosi vya Coastal Union, Simba SC na Simba Queens pia amekuwa sehemu ya benchi la ufundi Taifa Stars kwa nyakati tofauti.

Kibarua cha kwanza kwa Kocha huyo kitakuwa Ijumaa hii, Oktoba 25 dhidi ya waajiri wake wa zamani Simba SC kwenye dimba la KMC Complex.

24/10/2024

MUKRIM ISSA ,*MIRANDA*

K**a utahitajika kutaja majina ya madefender wakizanzibar ambao wanafanya vizuri ndani ya NBC ligi basi hukosi kumtaja mukrim Issa akiwa anakiwasha ndani ya Coastal union

23/10/2024

Hapa kuna tumaini jipya🙏🙏
Karibu coach wa boli mwambusi

10/09/2024

Fundi wa mpira📌

Relibohile mofokeng.

21/05/2024

Mcameruni Willium Troost Ekong,Mghana Abdurahman Baba,(Ghana),Soulihu Maite(Mali)na mtanzania Mbwana Ali Samata katika picha ya pamoja wakiwa na taji la ligi kuu ya ugiriki(Greece).


.

28/03/2024

"Tumecheza nao mechi mbili Hadi Sasa na zote tumetoa sare nafikiri ni vyema kusema tupo kwenye level sawa na wao"

forever.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Tanga
211XX