Shabiki la Yanga

Shabiki la Yanga

Share

Shabiki la Yanga

Daima mbele nyuma mwiko

12/05/2025

๐Ÿ”ฐ๐๐„๐—๐“ ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐Ÿ”ฐ

๐Ÿ†
โšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šNamungo FC
๐Ÿ“† 13.05.2025
๐ŸŸ KMC Complex
๐Ÿ•– 10:00 Jioni


12/05/2025

Kwani hawo wanasemaj????????

Follow Shabiki la Yanga Sports site

10/05/2025

Mwanachi hawezi akapita bila kulike Japan. K**a unawajua wataje kwa majina malijendari hawa

Follow me Shabiki la Yanga

10/05/2025

โœ๏ธKatika mahojiano maalum na mtangazaji maarufu Salama Jabir, Mkurugenzi wa Makampuni ya GSM, Ghalib Mohammed, ametoa kauli iliyozua mjadala mkali miongoni mwa wadau wa soka nchini. Akiwa na msimamo wa kujiamini kuhusu mwenendo wa klabu ya Yanga SC, Mohammed amesema kuwa akipewa nafasi ya kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, licha ya Kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuliongoza taifa pia atamwambai Yanga Bingwa.

๐Ÿ—ฃ๏ธ"Nitamwambia Mama, Yanga Bingwa." Amesema GSM

โœ๏ธKauli hiyo imeibua hisia tofauti hasa kutokana na ushindani mkali uliopo katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu. Hadi sasa, Yanga SC inaongoza ligi ikiwa na tofauti ya alama nne dhidi ya mpinzani wake wa jadi, Simba SC, ambaye ana mchezo mmoja mkononi.

โœ๏ธWakati mashabiki wa Yanga wakitafsiri kauli hiyo k**a ishara ya imani thabiti ya mafanikio msimu huu, baadhi ya wadau wa soka wameiona k**a kauli yenye presha inayoweza kuongeza mvutano wa ushindani katika mechi zilizobaki.

โœ๏ธLigi bado inaendelea, na timu zote zinapambana vikali kuhakikisha zinapata matokeo mazuri kuelekea kumaliza msimu. Je, Yanga itaweza kutimiza ndoto za mashabiki wake na kuthibitisha kauli ya GSM Licha ya kuwa na sintofahamu ya hatima ya mchezo wa derby โ‰๏ธ

09/05/2025

Miaka 8 ya Mdhamini Mkuu wa Klabu yetu Sportpesa Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ


09/05/2025

mwanayanga hawezi pita post hii wape likes zakutosha taja majina yao halafu toka nduki.

25/03/2025
09/03/2025

Mbuzii Fc hahaha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

05/02/2025

FT YANGA 6-1 Ken Gold

Hiki nikipigo cha mbwa mwitu yaan kiufupi ken Gold wameutaka wenyewe.

Follow Shabiki la Yanga

05/02/2025

Ukisikia mtoto kautaka ndio hii sasa ndio kwanza kipindi cha kwanz mtu kala nne kavu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Follow ShabShabiki la Yanga

05/02/2025

Kikosi cha Yanga kinacho anza leo dhidi ya Ken Gold

Follow Shabiki la Yanga


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Tanga