MINGA Sports News

MINGA Sports News

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MINGA Sports News, Tunduma.

MINGA SPORTS NEWS Ni page ya Mwalimu Minga

karibu Sana tumia lugha nzuri yenye staha

Ushauri unaruhusiwa kwa faida ya wote

Kutakuwa na habari za Michezo na burudani

Kwa mawasiliano 0759900512
0712019512
@[email protected]

06/03/2026

Katikati yao alipita mmoja wao

07/01/2026

JUMAPILI HIIIII

28/12/2025

KIMONDO SSC LEGEND

28/12/2025

FUNGA MWAKA NA MASTAR WA KIMONDO SSC

Imepita Miaka mingi sana tangu kimondo ssc kushuka DARAJA ni wazi ilisheheni ajira nyingi Kwa vijana ndani ya Mkoa wa Songwe na nje ya Mkoa

Unakumbuka UWEPO wa James MWASOTE,George Mpole na hata Mashaka Mwakyoma Bila kumsahau Captain wa muda wote Geoffrey Mlawa mbele ya Mwashiuya na Afrika Junior kagawa

Ilikuwa kimondo ssc YENYE ubora usiolezeka ndani yake ilitoa ajira nyingi ikiwemo watu kutoka mataifa mengine Suilanji Mwamengo, Mathews Sibale na hata Mateo Silavwe

Ilileta burudani nzuri sana chini ya Mkurugenzi Wetu ELICK AMBAKISYE MINGA ilifana sana ilikuwa Chachu ya vipaji vingi sana

Leo Kuna Akina Asifiwe Lwinga,Meshack Mwamita,Ezekia Mwashilindi akina Zabona Mayombya wote waliopita hapo

Tarehe 31 Disemba 2025 fika Mlowo uwanja wa Forest kushudia malegend Hawa wakitoa burudani shidi ya MWASHAMBWA Combine

Wahi Mapema ushudie mtanange huo
kuwa na TIMU ya LIGI kuu inawezekana Kwa pamoja tunaweza🏟️👏⚽

13/10/2024

Kazini kwetu Kuna kazi Tena msimu huu Hawa ndio wapinzani wetu ligi ya Mkoa 2024

15/12/2023

Senegalese Player, Krepin Diatta, lashed out at people, especially Africans, who m0cked his physical look during the African Cup of Nations. This is what he had to say on social media:

"I am very sad to see some African brothers making fun of me. I work for our beautiful and dear African continent and what I receive in return are only insults, mockery of my brothers. This is too bad of you and racism comes from there.

I need your encouragement and not your insults. Thank you to everyone who supports me. Only God makes my strength and I am proud of my physical person. Your m0ckery won't change anything in my life. But one thing is for sure, we are all african."


Daa 😭

27/06/2023

All the best My team 👏

17/05/2023

Chuma Cha Pili MOc SUPER CUP SONGWE ALL STARS

17/05/2023

Chuma Cha Cha Kwanza MOc SUPER CUP SONGWE ALL STARS

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tunduma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Tunduma