SportsScore"
sports only
16/09/2023
TODAYS FIXTURES
๐ฟ๐ฆ Premier League ~
15:00 Golden Arrows vs Stellenbosch
17:30 Kaizer Chiefs vs Royal AM
๐ฟ๐ฆ Motsepe Foundation Championship ~
15:00 Hungry Lions vs Upington City
15:00 JDR Stars vs Baroka
15:00 NB La Masia vs Magesi
15:00 Platinum City vs Marumo Gallants
15:00 Venda Football Club vs Pretoria Callies
๐ฟ๐ฆ Diski Challenge ~
10:00 Golden Arrows vs Mamelodi Sundowns
10:00 TS Galaxy vs Cape Town Spurs
12:00 Richards Bay vs Orlando Pirates
๐ CAF Champions League - Qualification ~
15:00 Al-Merreikh (Sud) vs Young Africans (Tan)
15:00 Power Dynamos (Zam) vs Simba (Tan)
17:00 Etoile Sahel (Tun) vs FAR Rabat (Mar)
18:00 Real Bamako (Mli) vs Nouadhibou (Mrt)
๐ CAF Confederation Cup - Qualification ~
15:00 AS Arta (Dji) vs Zamalek (Egy)
15:00 Ferroviario Maputo (Moz) vs Sagrada (Ang)
17:00 Bendel (Nga) vs Berkane (Mar)
17:00 Sekhukhune (Rsa) vs St Eloi Lupopo (Drc)
18:00 Gaborone Utd (Bot) vs Supersport Utd (Rsa)
CAFCL
Bumamuru ๐ง๐ฎ ๐ ๐ฟ๐ฆ Mamelodi Sundowns
โฐ || 10:00 jioni
๐๏ธ Azam Complex, Chamazi
NEXT MATCH๐ฉ
๐CAFCL
๐ง๐ผJwaneng Galaxy vs Orlando Pirates ๐ฟ๐ฆ
๐National Stadium
๐17 SEPT 2023
โฑ๏ธ15h00
10/09/2023
WAMEANZAA TENAA!!!
Kocha wa Uganda, Milutin Sledjovic Micho ametoa shutuma kwa Algeria na Tanzania kuwa ni k**a walipanga kutoka sare kwenye mchezo wao uliopigwa dimba la Annaba uliofanikisha Tanzania kufuzu AFCON.
Micho anadai kuwa ni k**a Algeria walipanga na Tanzania kufanya hivyo ili kuirahisishia Taifa Stars kufuzu na wao kuangukia pua licha ya timu yake kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Niger.
Kocha huyo ameomba Algeria na Tanzania kutolea ufafanuzi suala hili na abainike aliyehusika na suala zima.
Aidha aliongeza kuwa kila mmoja anatambua DNA ya kocha wa Algeria, Djamel Belmadi katika suala zima la kusaka ushindi hivyo aamini k**a Tanzania walipata sare kwa uwezo.
10/09/2023
Shabiki mmoja wa West Ham United alisafiri kutoka Uingereza ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ mpaka Ghana ๐ฌ๐ญ kwaajili ya kumwangalia Mshambuliaji wao Mpya,Mohamed Kudus ambaye ni usajili kwenye Klabu ya West Ham.
Baada ya mechi kumalizika,Staa huyo alikutana na Shabiki huyo kisha kumpatia jezi ya timu ya Taifa ya Ghana ๐ฌ๐ญ ambayo aliitumia Kudus ๐ฌ๐ญ dhidi ya Central Africa Republic.Kudus alifunga goli moja kwenye Mchezo huo
10/09/2023
RESULTS EURO QUALIFICATION: ๐
๐๐๐ ๐๐๐๐
โฑ๏ธFULL TIME
IRELAND ๐ฎ๐ช 1๏ธโฃโ๏ธ2๏ธโฃ NETHERLANDS ๐ณ๐ฑ
โฝ๏ธ 4" Idah (p) โฝ๏ธ 19" Gakpo (p)
โฝ๏ธ 56" Wheghorst
โฑ๏ธFULL TIME
ALBANIA ๐ฆ๐ฑ 2๏ธโฃโ๏ธ0๏ธโฃ POLAND ๐ต๐ฑ
โฝ๏ธ 37" Asani
โฝ๏ธ 62" Daku
โฑ๏ธFULL TIME
LITHUANIA ๐ฑ๐น 1๏ธโฃโ๏ธ3๏ธโฃ SERBIA ๐ท๐ธ
โฝ๏ธ 45" Gytis โฝ๏ธ 21" MItrovic
โฝ๏ธ 32" MItrovic
โฝ๏ธ 43" MItrovic
โฑ๏ธ FULL TIME
GREECE ๐ฌ๐ท 5๏ธโฃโ๏ธ0๏ธโฃ GIBRALTAR ๐ฌ๐ฎ
โฝ๏ธ 9" Pelkas
โฝ๏ธ 23" Mavropanos
โฝ๏ธ 70" Masouras
โฝ๏ธ 83" Mavropanos
โฝ๏ธ 90+1" Masouras
โฑ๏ธFULL TIME
SAN MARINO ๐ธ๐ฒ 0๏ธโฃโ๏ธ4๏ธโฃ SLOVAKIA ๐ธ๐ฐ
โฝ๏ธ 4" Vpotnik
โฝ๏ธ 16" Mlaker
โฝ๏ธ 61" Lovric
โฝ๏ธ 67" Karnicnck
10/09/2023
Rais wa Shirikisho la soka la Hispania Luis Rubiales amejiuzulu kufuatia sakata la kumpiga busu mdomoni mchezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake Jenni Hermoso.
Rubiales alikosolewa vikali kwa kitendo kile na kutakiwa na wadau mbalimbali wa soka la Hispania kujiuzulu hatua ambayo mwanzoni alikataa kuifanya.
Wiki iliyopita Bi.Hermoso alifaili malalamiko yake Mahak**ani kuhusiana na kitendo kile.
10/09/2023
Amara Diouf alikua mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea Senegal - alizaliwa mwaka 2008, miaka 15 na siku 94. โจ๐ธ๐ณ
LW kutoka academy ya Generation Foot alikotoka Sadio Manรฉ.
10/09/2023
โฑ๏ธ FT : ๐๐
๐๐๐ ๐๐ฎ๐๐ฅ๐ข๐๐ข๐๐๐ญ๐ข๐จ๐ง
NIGERIA ๐ณ๐ฌ 6๏ธโฃโ๏ธ0๏ธโฃ SAO TOME ๐ธ๐น
โฝ๏ธ 13" Osimhen
โฝ๏ธ 27" Lookman
โฝ๏ธ 51" Awoniyi
โฝ๏ธ 70" Osimhen (p)
โฝ๏ธ 80" Osimhen
โฝ๏ธ 90" Chukwueze
โฑ๏ธ FT : ๐๐
๐๐๐ ๐๐ฎ๐๐ฅ๐ข๐๐ข๐๐๐ญ๐ข๐จ๐ง
TOGO ๐น๐ฌ 3๏ธโฃโ๏ธ2๏ธโฃ CAPE VERDE ๐จ๐ป
โฝ๏ธ 40" Denkey (p) โฝ๏ธ 4" Lenini
โฝ๏ธ 77" Denkey โฝ๏ธ 20" Tavares
โฝ๏ธ 88" Ouattar
Click here to claim your Sponsored Listing.