25/07/2024
Basi bwana Clotous Chama akajiunga na Yanga kinachofuata ni historia...
Utamaduni wa soka ni hela burudani na stori k**a za wakina Magoma...
Si mmeona ghafla na Manara karudi ulingoni... Mara duuh Simba wametoa jezi za Sanda...
Wewe subiri usikie kinachofuata baada ya Kibu na stori yake...
Hatuishiwi na mambo ndio soka letu unashiba kabla ya kula.
30/01/2023
Wananchi..........................
Maneno kidogo Mkwanja Mwingi.............. hiyo pesa ni B 1.5
30/09/2021
Faida za Mazoezi ya peke yako na Mwalimu/Advantage of 1on 1 Training
Learn and refine new techniques – Utajifunza na kuboresha mbinu mpya
Focus on the individual needs of the soccer player – Utajifunza mahitaji binafsi mfano utapata muda wa kurekebisha mapungufu yako
Build confidence in a football player –Itakuongezea kujiamini
Build Quality Balance- Itakuongezea uwiano wa ubora yaani utakua una vitu vingi.
Photo credit to
and
28/09/2021
na nani ataanza vizuri leo
24/09/2021
Nabi- Kocha Mkuu
Kaze -Kocha Msaidizi
Zahera-Mkurugenzi wa maendeleo ya vijana
07/05/2021
Mara ngapi na nani amewekwa mara Mingi