Uhamiaji Football Club

Uhamiaji Football Club

Share

Welcome to Uhamiaji FC Page. A club is in Zanzibar, Owned by Tanzania Immigration DepartmentπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

12/06/2026

Msemaji wetu Mwinyi Hamad akitoa Shukran kwa Viongozi, bechi la ufundi, wachezaji na wadau baad au msimu wa 2025/2026 kufika tamati.

12/06/2026

Alhamdullillah. Tunashkuru Mungu kwa kumaliza msimu wa 2025/2026 salama kwa salama ana Amani.

Tunashkuru wale wote waliokuwa pamoja nasi kuanzia mwanzo wa msimu Hadi mwisho wa msimu.

Panapo Majaaliwa ya Allah tukutane msimu ujao kopambania malengo yetu.


12/06/2026

57' Karoa anaweka Chuma Cha pili

12/06/2026

Mapumziko tunaogoza

12/06/2026

Moh'd Abrahman ( Mo) anaweka Chuma Cha kwanza

10' Uhamiaji FC 1-0 Fufuni SC

Photos from Uhamiaji Football Club's post 12/06/2026

Warm Up

12/06/2026

Kikosi kazi dhidi ya Fufuni SC

12/06/2026

TunawazoomπŸ™„

12/06/2026

🚨 πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜ 🚨

πŸ†

πŸ‘• UHAMIAJI FC πŸ†šοΈ FUFUNI FC
©️ Mzunguko wa 30
πŸ—“ 12.6.2026
🏟 MOMBASA
⏰ 10:00 JIONI

_________________
USHINDI WA MECHI HII UTADHAMINIWA NA : wauzaji na wasambazaji wa pempers za watoto Nchi nzima.

KWA MAWASILIANO PIGA: 0675880167

"π™‡π™Šπ™‘π™€ π™”π™Šπ™π™ π˜½π˜Όπ˜½π™” π™‡π™Šπ™‘π™€ π™”π™Šπ™π™ π™π˜Όπ™ˆπ™„π™‡π™”"

wamekuletea Unga Bora wa Ngano Afrika Mashariki kwa matumizi ya familia yako.

"πŒπ€π‹π„ππ†πŽ 𝐍𝐈 πŒπ€πŠπ”ππ–π€ 𝐍𝐀 π˜π€ππ€π…πˆπŠπˆπŠπ€"



11/06/2026

Kuelekea Mwisho wa msimu wa 2025/2026


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Zanzibar City?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Kilimani
Zanzibar City