27/11/2025
YANGA SC INA KIONGOZI WA ROHO NGUMU! ENG. HERSI ATIA NGUVU MAZOEZINI
Young Africans Sports Club
Rais wa Klabu Eng. HERSI ALLY SAID () ameungana na timu kwenye mazoezi licha ya baridi kali ya nyuzi 5โ6.
Uwepo wake mazoezini unaonesha dhamira ya uongozi kutoa sapoti ya karibu kwa wachezaji na benchi la ufundi, sambamba na falsafa ya LEADERSHIP by example.
Klabu inaendelea na maandalizi kwa umakini mkubwa kuelekea mchezo huo muhimu.
WHAT A LEADER
26/11/2025
WYDAD CASABLANCA wapo njiani kuja Tanzania! โ๏ธ
Walitarajiwa kuingia leo moja kwa moja ZANZIBAR, Ijumaa hii wakikabiliana na Azam FC kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho. ๐ฅ
๐ฐ Wakati walipokuwa Dubai, AZIZ KI (mchezaji wa zamani wa Yanga SC) alipiga picha uwanjani na kupost kwenye Insta Story akiwa na wimbo wa I am Phobos โ โIโm Coming Homeโ ๐ถ๐๐
โก๏ธ Hakika, Tanzania na Yanga SC ni nyumbani kwa Aziz Ki daima! Karibu tena Master Ki, shemeji ๐ค
26/11/2025
TIKETI ZA MCHEZO WA JS KABYLIE ๐ YANGA SC ZIMEISHA NDANI YA MASAA 3 TU! ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Mashabiki wameshajivamia!
Tiketi zote zilizotolewa kwenye tovuti zimeisha ndani ya masaa matatu tu tangu zitangazwe. โ๏ธ
๐ฐ Uwanja wa HOCINE Aรฏt AHMED utajaa kabisa siku ya mchezo!
Hii ndiyo shauku tunayopenda sisi wananchi wa Yanga SC! ๐ช๐๐
26/11/2025
YANGA SC POPOTE HAPA NI LAZIMA KUSHINDA! ๐๐
Yanga SC wamesafiri mapema Algeria kuikabili JS Kabylie! ๐ฐ
Figisu za waarabu?
Wacha zijumuishe, kwa sababu Yanga SC hawana hofu โ ushindi ni desturi yao, na vita ya dakika 90 uwanjani ni chakula chao! โฝ๐ช
Kila kitu kimejipangwa:
Viongozi wa timu wamesafiri mapema
Benchi la ufundi wakiangalia kila kitu kwa makini
Wachezaji wakiwa tayari kwa umakini mkubwa
Hali ya hewa? Hakuna shida โ Yanga SC wamezaliwa kushinda!
Points tatu ni lazima, na ushindi unashikilia! ๐๐ฅ
25/11/2025
HAWA JS KABYLIII wapo seriously kweli?
Imagine na sisi Young Africans Sports Club tunatumia rangi hii hii ya kijani na njano ๐
Aisee nawaonea huruma siku ya Ijumaaa maana PACรME akiona shangwe k**a hili anapangawa ๐ฅ.
K**a mtakuwa na Kumbukumbu mzuri ile mechi ya MADIBA pale South African dhidi ya Mamelodi Sundown Klabu Bingwa.
All the best WANANCHIIII ๐ฅ๐ฅ
23/11/2025
๐
"K**a kocha sijashangaa sana na haya matokeo kwasababu,Tumeshindwa kutumia nafasi.
Tuna mechi ijayo tupo ugenini ni muda wa kuonesha makubwa tukiwa ugenini ila kwa timu hii sidhani k**a naweza kupewa lawama kwa sasa bado natafuta muunganiko wa timu "
Patev
Meneja ๐ค๐ฝ๐
๐
๐
23/11/2025
Nasikia sababu ya Simba kufungwa ni kwamba wachezaji walikataa kuvuta sigaraa. ๐คฃ๐ค๐ฝ
Ameyaeleza hayo meneja wa SIMBA Pantev ambaye ni mdogo wa Dogo PATEN ๐๐๐
#
23/11/2025
Hakuna kocha humu huyu ni mpishi wa Melini ana wapikia Mabaharia vyakula๐คฃ๐ค๐ฝ๐ค๐ฝ
23/11/2025
Mwamediรฌi๐คฃ๐๐๐
23/11/2025
Mgeni mpeni mia saba yake kwanza ๐คฃ๐ค๐ฝ
MAPOVU YA NINI SASA? ๐ค๐ฝ๐
๐
๐