03/12/2022
Kufulahi ni jambo kubwa maishan asante mungu
Simba mpo poah
Sports
03/12/2022
Kufulahi ni jambo kubwa maishan asante mungu
Simba mpo poah
01/09/2022
Mfungaji bola EPL msimu huu je wewe unambashili yupi
01/09/2022
HIVI YANGA MNACHOFANYA HAMJUI TFF MNAWAKELA
31/08/2022
"TFF haina huruma kwa Yanga nahisi lengo lao ni kuhakikisha msimu huu Yanga inakosa Vikombe muhimu.
Mwezi Septemba Ndani ya Siku 11 Yanga ina Mechi 4 ngumu sana, Mbili za Ligi na Mbili za CAF CL.
Tarehe 6 VS Azam
Tarehe 10 VS Zalan
Tarehe 13 VS Mtibwa Sugar
Tarehe 17 VS Zalan
31/08/2022
Hivi mashabiki wa Chelsea Football Club mko wap
31/08/2022
.... Mkitaka (FFT) isiwaonee Yanga, acheni kushindashinda kila mechi.
Mkiendelea kushindashinda kila mchezo hasa michezo mikubwa Nchini mnawaudhi watu, maumivu mnayosababisha mtayalipa kwenye k**ati, mtanyooshwa huko ð
Nyie si viburi, tukutane kwenye k**ati ðĪŠ
30/08/2022
"Mimi siyo Bondia oya oya k**a hao wengine mnaowashabikia,"
,Hassan Mwakinyo.
30/08/2022
30/08/2022
NENO MOJA KWA JEZI HII
29/08/2022
YUPI TISHIO
KWA SASA COMMENT
29/08/2022
.... Kwa jinsi nilivyomtazama Ouatarra ðĻðŪ jana, ana mengi ya kujifunza kwa Onyango.
Ouatarra ni mzito hana speed, anapaswa apunguze uzito wa mwili la sivyo akikutana na Wachezaji wenye speed atafungwa sana magoli ya counter attack.
Katazame goli la kwanza la Kotoko kisha utakubaliana na hiki ninachosema.
ð Mipira ya juu yuko vizuri.
â
Nasoro Kapama jana alicheza vizuri sana akiaminiwa ataisaidia Simba
â Dejan hapana kwa kweli
â
Chama ni yuleyule ðĨ
â ïļ Inonga ni mzuri but ana over confidence na masihala mengi kwenye pitch.
âïļ Moses Phiri alicheza kawaida.
â
Okrah yuko vizuri.
28/08/2022
.... Kwenye hii sub wangapi walimuelewa kocha Kim Paulsen ?