Zanzibar OlympAfrica

Zanzibar OlympAfrica

Share

Official page for Zanzibar OlympAfrica.

Photos from Zanzibar OlympAfrica's post 31/10/2023

Kituo cha OlympAfrica kiliopo Dole Mjini Zanzibar kinatoa mafunzo ya michezo mbali mbali, ikiwemo mpira wa miguu,Netball,Cricket, Karate

31/10/2023

Vijana walioko kwemye kituo cha OlympAfrica kilichopo Dole Zanzibar wakiendelea na mazoezi yao ili kujiweka sawa kimwili na kiakili na kijiandaa na michezo mbali mbali itakayoandaliwa na kituo hicho.

21/10/2023

Vijana wakijiandaa kufanya mazoezi katika kituo cha Olympafrica kilichopo Dole Zanzibar

21/10/2023
21/10/2023

Karibuni nyote wadau wa michezo katika page yetu ya Zanzibar OlympAfrica kwa like mbali mbali za kimichezo

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Zanzibar?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Dole
Zanzibar