13/08/2025
Tuirudishe hii timu au Tuifufue Selem Ranger 2025
Hapa ni sehemu ya kupeana tarifa za timu yetu sio uwanja wa mapambano na matusi km una kitu kimekukera waone viongozi wa timu uwaeleze
13/08/2025
Tuirudishe hii timu au Tuifufue Selem Ranger 2025
08/01/2024
Abdul-hafidh Suleiman 🙌🔥🔥💯⚽
Kipaji sio bahati
From El Chico's
To Selem view
From Selem view
To JAMHURI SC
Shukran kwa Viongozi wa El Chico's pamoja na selem view kwa kuweza kusimamia kipaji Cha kijana hakika akiendelea kupambana atafiia mbali
Shukran za pekee kwa kwa kuweza kuendelea kuibua vipaji ktk wilaya ya Wete Hongera Sana Kiongozi
08/01/2024
MATAJIRI TUPO PAMOJA TUNATAKA TWENDE SEMIFINAL INSHA ALLAH
14/05/2023
Na Hapa ndo Tulipofikishwa leo sasa Tusubiri kusoma HITMA TU Au kucheza ligi ya Jumbe
10/05/2023
Tukapambane Kuibakisha timu ktk ligi ili tujipange na msimu unaokuja kila la kheri Ensha Allah
Full-time
Selem 0 Al azar 0
05/11/2022
Mechi yetu ni leo
FFU stadium
Selem View v Al-azar f.c
Saa 10;00 Jioni
🆕️ Matokeo ya ligi daraja la kwanza kanda ya Unguja na Pemba, leo Oktoba 29, 2022.
Kanda ya Unguja.
FT: Gulioni 0️⃣-2️⃣ Chuoni FC
Uwanja wa Amaan,
Saa 8:00 mchana.
Kanda ya Pemba.
FT: Selem View 4-0️⃣ Kisiwani
Uwanja wa FFU, Finya
Saa 10:00 alasiri.
FT: Hard Rock 3️⃣-1️⃣ Chake Chake
Uwanja wa Jeshini,
Saa 10:00 jioni
19/10/2022
Baada Yakucheza Mechi 4 Msimamo ndo upo hvyo
Selem View 1-1 Hardrock
Leo Tutakuepo Uwanjani
Selem View v Telekeza
Ngerengere stadium 🏟
Kila la khery Vijana Musituangushe leo
Full-time
Selem View 0 -1 Yosso Boys
Kubwa lijalo
Kesho 04/11/2022
Selem View v Yosso Boys
FFU Stadium 🏟
03/10/2022
Inawezekanaje Hii Siku Ipite Bila Yakukutakia Khary ya Kuzaliwa Super The leader
Allah akupe Afya Njema na Umri Wenye khery na ww InshaAllah
Happy birthday 🎂 🥳
God bless you and your family 👪