Ijumaa k**a hii wiki iliyopita lilifanyika tukio la kihistoria kwenye Soka la Zanzibar - Uzinduzi wa Jezi za Timu ya Taifa Zanzibar Heroes ukiongonzwa Dr. Hussein Ali Mwinyi
Kiu ya Wazanzibar kuzisubiri jezi hizo sasa imepata majibu, Jezi zinapatikana GG Classic wear, Mombasa S.O.S, GG classic Magomeni na Duka la Hussen Ahmada Jang’ombe Mzizima kwa Tsh 45,000/= tu.
Usikose vazi rasmi la Wanzibari wanaojivunia Zanzibar na maendeleo inayoyafanya.
Zanzibar Heroes
Ukurasa Rasmi wa Timu ya Taifa ya Zanzibar - “Zanzibar Heroes" -
#MashujaawaZanzibar
TAFSIRI RASMI YA UBUNIFU ULIOKO NDANI YA JEZI ZETU MPYA ZA ZANZIBAR HEROES!
ZANZIBAR HEROES OFFICIAL KITS & MERCHANDISES
Designed by Sheria Ngowi Brand for
Tunawashukuru CRDB Bank Plc kuwa mdhamini mkuu wa Jezi hizi za timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes
Ni RASMI 🎊🎉
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi
amezindua rasmi Jezi ya Timu ya Taifa ya Zanzibar Zanzibar Heroes
Umeona kiwango cha Nahodha wetu Mh Dr. Hussein Ali Mwinyi? Makubwa yanakuja kwenye timu ya Taifa na soka la Zanzibar
28/01/2024
Sheria Ngowi Brand Mbunifu wa Jezi Mpya za Zanzibar Heroes akielezea maana na ubunifu uliopo nyuma ya kila jezi.
Baki nasi kwenye ukurasa huu kujua zaidi kuhusu ubunifu wa jezi hizi.
28/01/2024
Kwa mara ya kwanza, ni heshima kubwa na taadhima kuiona jezi ya kwanza mpya kati ya kit 4 za Zanzibar Heroes ikiwa imevaliwa na Mheshimiwa Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi
Mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi analijua soka, hii ni ‘trela’ tu, picha linakuja 😀
28/01/2024
Hapa ndipo tukio la kihistoria lilipotokea; uzinduzi wa jezi mpya za Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes
Mgeni rasmi niRaisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi
Fuatilia taarifa zaidi kupitia ukurasa huu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Zanzibar