21/03/2026
Eid Mubarak
Tunawatakia Waislamu wote Eid Mubarak yenye furaha, amani na baraka.
RunZanzibar
Zanzibar
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zanzibar International Marathon, Sports Event, Zanzibar.
21/03/2026
Eid Mubarak
Tunawatakia Waislamu wote Eid Mubarak yenye furaha, amani na baraka.
RunZanzibar
Zanzibar
12/03/2026
Tulipata heshima ya kuhudhuria futari iliyoandaliwa na Yas, iliyofanyika tarehe 12 Machi katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Tukio hili liliwakutanisha wadau na washirika mbalimbali katika mazingira ya ukarimu, mshik**ano na kuthaminiana katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Tunatoa shukrani zetu kwa Yas kwa mwaliko na ukarimu wao.
08/12/2025
We extend our sincere appreciation to every stakeholder, participant, sponsor, and the entire team that ensured the Yas Zanzibar International Marathon became a unique event, marked by excellent organization and outstanding success.
Each one of you contributed in a special way—from the preparation stages, your participation on the course, to the energy you brought on race day.
Your strength, collaboration, and enthusiasm are what shaped this year’s history and continue to elevate this marathon into one of the most significant and inspiring events in the East African region.
Thank you for being part of this journey. The journey continues.
08/12/2025
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma umekabidhi hundi ya pesa taslim ya shilingi Milioni Kumi k**a sehemu ya utaratibu wa kurudisha kwa jamii.
Akizungumza wakati wa makabidhiano ya hundi hiyo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation Sabra Ali Mohamed amesema fedha hizo zinakwenda kusaidia jamii hasa katika kuunga mkono matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Amesema fedha hizo zinakwenda moja kwa moja katika kuunga mkono jitihada za viongozi wa nchi katika kuhakikisha jamii inabadilika kutoka katika matumizi ya nishati chafu na kuingia katika nishati safi ya kupikia.
Yas Zanzibar International Marathon 2025.
Marathon
RunParadise
RunZanzibar
Zanzibar
25/11/2025
Hongera kwa washindi wa mbio za 10km wanawake, waliokimbia kwa kasi na umakini mkubwa, wakionesha uwezo na ushindani wa hali ya juu.
Ushindi wao umeleta msisimko na nguvu mpya kwenye mashindano ya mwaka huu.
Marathon
RunParadise
RunZanzibar
Zanzibar
25/11/2025
Hongera kwa washindi wa mbio za 10km wanaume, waliotumia kasi, nguvu na uthabiti kuonesha ubora wao katika mashindano.
Ushindi wao umeendelea kuongeza hamasa na kuthibitisha kiwango cha juu cha ushindani kwenye marathon ya mwaka huu.
.
Marathon
RunParadise
RunZanzibar
Zanzibar
25/11/2025
Washindi wa Wanawake 21km
Hongera kwa washindi wa mbio za 21km wanawake, waliokimbia kwa nguvu, ustahimilivu na kiwango kikubwa cha ushindani.
Ushindi wao umeleta hamasa na kuonesha uwezo mkubwa wa wanariadha wa Zanzibar na nje ya Zanzibar.
.
Marathon
RunParadise
RunZanzibar
Zanzibar