17/07/2024
๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฅ ๐ค ๐
Kinachosubiriwa sasa ni kumtangaza Awesu Ally Awesu kua mchezaji mpya wa Simba
Anakuja kwenye klabu inayoendana na falsafa ya aina yake ya mpira
Huyu ni moja kati ya wachezaji wa kizawa wenye akili ya mpira na wenye uwezo wa kulisakata kabumbu
Nina Imani pengo la Chama halitaonekana kwa ufundi mwingi alokua nao kijana huyu kwenye miguu yake
Mashabiki wenzangu wa Simba kaeni tayari kwa kumpokea kijana wenu mpya huyo
๐๐ข๐ฆ๐๐ ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐ ๐ข๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐
17/07/2024
๐น๐ฟ ๐ข๐Nani Kati ya hawa ambae anastahili kuvaa kitambaa cha unahodha katika club ya YANGA msimu ujayo?
๐น Djigui Diarra
๐น Dickson Job
๐น Khalid Aucho
๐น Pacome Zouzoua
๐น Ibrahim Bacca
Vigezo vya kuzingatiwa;
- Uwezo wake uwanjani.
- Ushawishi na motisha uwanjani na hata kwa mashabiki.
- Kujiamini uwanjani.
- Morali ya Upambanaji.
- Mwalimu wa wengine uwanjani kwa vitendo na maneno.
- Nidhamu.
- Mtetezi wa Team pale inapotokea imeonewa.
- Kujitoa kwa ajili ya Timu.
Je,KURA yako utaitupa kwa yupi Kati ya hao watano(5)?
17/07/2024
๐๐ HAWA YANGA WANAPENDELEWA SANA NA CAF, SIMBA HAWAJAWAHI OKOTA DODO NAMNA HII
HII IMEKAAJE
Kwenye Michuano hii Yanga wakikaza tu na Kikosi walichonacho FAINALI hii hapa Mapema tu
17/07/2024
โช๏ธโช๏ธNawapeni UPDATE ya LAMECK LAWI ambayo hamtaipata popote.
LAMECK LAWI hana offer yoyote kutoka nje ya mipaka ya tanzania.
Ishu ipo hivi kunatimu iliingilia Dili la mchezaji wa ndani ambaye alikuwa kwenye mipango ya Yanga sc na ikamsajili.
Sijui ni timu Gani Imefanya kisasi haraka sana ikamlipa LAMECK LAWI mara mbili ya kile ambacho Simba sc Tanzania Umelipa Kisha ikamrejesha pale pale Tanga kwa mkopo mchezaji huyo atajiunga na timu ambayo Hata Mimi siijui ila Imefanya hivyo kwa kisasi tu na huko mbele mchezaji huyo atachezea timu hiyo ambayo Mimi mwenyewe siijui.
Cha kuzingatia sana ni kiasi. ๐๐
17/07/2024
Wazee wana umuhimu gani katika jamii?
Ubaya Ubwela
๐๐
17/07/2024
Mwanayanga gafla umekutana na huyo Mzee utamwambia nini๐๐
11/05/2024
๐จ ISHU YA CHAMA, SIMBA
Taarifa kutoka ndani ya Simba zinasema kiungo wake Clatous Chama, ameshapewa ofa mpya ambayo inaweza kumbakisha kiungo huyo lakini haitakuwa na presha yoyote ya kubadilika endapo Mzambia huyo atakuwa na ofa zingine kuishinda hiyo ya wekundu hao.
Chama ambaye mkataba wake unafikia tamati mwisho wa msimu huu, mezani ana ofa kubwa mbili kutoka Yanga na Azam lakini mabosi wa klabu yake hawataki kuingia mtego wa kushindana na ofa hizo ikitaka kiungo huyo kufanya maamuzi ya mwisho.
โSioni k**a tutampa ofa kubwa zaidi ya hiyo ni uamuzi wake kuamua k**a atakubaliana na hilo au vinginevyo kuna mambo mengi tunayapima kwenye hizi ofa ambazo tunawapa wachezaji wetu, k**a ataona kuna ofa kubwa zaidi huko nje Simba haitashindana nazo,โ alisema bosi huyo ambaye yumo kwenye bodi ya wakurugenzi wa Simba.
11/05/2024
๐จ| UPDATE: ALEXANDER KERVEILLANT
- Klabu ya Simba ipo kwenye hatua za mwisho za kumalizana na Alexander Kerveillant ambaye alikuwa Mchambuzi wa video na viwango ( Video Analyst ) kutoka Al Nassry ya Saudi Arabia kuifanya kazi hiyo kuelekea msimu ujao.
- Ambapo kazi hiyo anaifanya Culvin Mavunga ambaye ni raia wa Zimbabwe, Simba walipokea maombi hayo wiki mbili zilizopita na wakapitia wasifu wa Alexandre Kerveillant ambaye ni raia wa Ufaransa na wamejiridhisha kuwa anaiweza kazi hiyo kwa ukubwa zaidi.
11/05/2024
Ayoub Lakred hatakuwa sehemu ya kikosi Cha msimu ujao baada ya kupata OFA kadhaa kubwa ambazo zimemvutia Golikipa huyu Mfalme wa 1v1 .
Nyota huyu mwenye umri wa miaka 28 anawindwa na Wydad Athletic Club ambayo inataka kurejesha heshima yake kwenye Soka la Morocco ๐ฒ๐ฆ na Afrika ๐ .
Aishi Manula amekumbwa na majeraha ya mara Kwa mara hivyo Simba watatakiwa kusaka Golikipa mwingine wa kurithi Mikono ya Ayoub Lakred.
17/04/2024
Breaking news Kocha wa Mamelodi kaifollow Yanga Insta na Amesema ana admire mpira wa Yanga..!!