26/02/2024
... 📲 𝙋𝙊𝙆𝙀𝘼 𝘾𝙈 𝙔𝘼 𝙈𝙐𝘿𝘼𝙏𝙃𝙄𝙍
Ni dhambi isiyosameheka kutoandika chochote kuhusu form na uwezo wa Mudathir huyu wa Yanga. Sitaki hiyo dhambi.
Wakati watu wengi wakiamini kukaa miezi (6) nje ya pitch ni mwisho wa kiungo huyu chuma mwenye pirikapirika nyingi uwanjani k**a panya jikoni, Yanga wakaamua kutoamini dhana hiyo na kumjumuisha kwenye familia yao.
Mpaka sasa msimu huu ndiye kiungo wa kati mwenye magoli mengi zaidi 'Overall' (8) ukanda wa Afrika mashariki na kati.
⚽ vs KMC
⚽ vs Namungo
⚽ vs Medeama 🇬🇭 (CAF)
⚽ vs Dodoma jiji
⚽ vs Mashujaa FC
⚽⚽ vs KMC
⚽ vs CR Belouizdad 🇩🇿 (CAF)
Tangu aanze kucheza soka la ushindani kwa mara ya kwanza Mudathir amefunga mabao (8) ndani ya msimu (1) tena ni ndani ya nusu msimu tu !! .. Hii haijaja kwa bahati mbaya ni maelekezo ya kocha, Gamondi ambaye alimruhusu kucheza kwenye Mabox yote (2) kitu ambacho makocha wengine waliopita hawakuamini katika hilo, Mudathir aliweka wazi hilo mbele ya wanahabari.
📌 Ndani ya msimu (1) na nusu akiwa Yanga tayari Mudathir kapata mafanikio haya ambayo hakuyapata katika miaka (10+) aliyocheza soka (Azam FC & Singida).
🎖️ Fainali CAF-CC
🎖️ Robo fainali CAF-CL
🏆🏆🏆 — Treble (Ligi kuu, FA, Ngao)
Mudathir alisajiliwa Yanga akiwa free agent kutoka Azam FC. Feisal alisajiliwa na Azam FC kwa Tsh 200+ Million kutoka Yanga + mshahara mkubwa sana 💵
Mmoja kafanikiwa mwingine kakimbia mafanikio. KUPANGA NI KUCHAGUA.
Note : Ni nani huwa anapigiwa simu na Mudathir Yahya Abbas ?!
20/12/2023
Today I sleep 00:05 pm come inbox and text me I will chat with you... Who will be the first what's app, messenger, Facebook, Instagram, tweet.
29/10/2023
AFL 2023
Mamenlodi 1- 0 Al Ahly full time
Maseko in 52 minutes
I watched the fantastic game Debby African football league.
23/03/2023
■Clement Nzinze abadili dini na kuwa Muislamu.
□Mchezaji wa Yanga katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ameamua kuingia katika uislamu, Clement amefanya maauzi hayo mbele ya Sheikhe Mkuu wa mkoa Walid.
https://chat.whatsapp.com/K4uwolPUHltLR1AELZUXEG
jiunge na group jipya kabisa la yanga kwa kubonyeza link hiyi hapo juu
Ngowi sports
21/03/2023
(Taifa Stars) is a national team of Tanzania
■Our lads are ready for the nation in Fifa calendar, Taifa Stars face Uganda national team on Friday, from the light hand is a player of Young Africans Sc Kibwana Shomari, Feisal Salum Fei toto, Dickson Job, Mudathiru Yahaya Abas, Bakari Nondo Mwamunyeto, Ibrahimu Bacca,
■We wish you all the best, we all play for you and for the victory!
Ngoi Sports
11/07/2022
KI STEPHANIE AZIZ
AZIZ STEPHANIE KI
STEPHANIE KI AZIZ
WELCOME IN TANZANIA
IT WILL BE KNOWN AFTER 48 HOURS LATER! ENGINEER HENRS SAID ALLY.
11/07/2022
Yanga yamsajil Bigirimana kwa faida zifuatazo;
(1) Raisi mpya wa Yanga sc aliwahi kusema kupitia kinywa chake kuwa alitaka kuiona Yanga inakuwa klabu kubwa barani afrika sasa namuelewa nini alimaanisha kwa kauli ile "Value" hili ni neno la kingereza likiwa na maana ya thamani.
(2) Yanga kupitia wachezaji na brand ni (Value) kubwa ya kuwavutia wawekezaji na makampuni mbali mbali kuja kuwekeza kwa usajil wa sasa wanao ufanya kupitia wachezaji wao wawili Bigirimana na Ki Stephanie Azizi ni wachezaji wakubwa sana kwa Profile zao katika nchi za nje, Bigirimana amecheza ligi kuu ya uingereza na mastaa wakubwa katika ligi hiyo kupitia Convert city, Newcastle, Ki Aziz amecheza timu ya Spain, akitokea Asec.
(3) Asec ni timu kubwa barani afrika ambayo imetoa nyota wakubwa wanoa cheza nje, Hivi karibuni amesajiliwa Konate kutoka Asec na kwenda nje hii ina maanisha kuwa kupitia wachezaji hao Yanga itakuwa na (Value) kubwa sana na kujitangaza sehemu mbali mbali, hili pia liliwahi kufanya na Real Madrid kwa kusajil wachezaji nyota dunia, Cristiano Ronaldo, Zinedine Zidane zizu, Luis Figo, na wengineo na kuacha alama kubwa katika klabu hiyo ya nchini Spain.
(4) Yanga pia kupitia wachezaji hao wazoefu katika ligi mbali mbali afrika na ulaya watanufaika pia katika pitch No doubt kuhusu uwezo wa Ki Aziz, alisha wahi kuja na kucheza na wapinzani wao katika mashindano ya kimataifa CAF.
USAJILI MPYA WA WACHEZAJI WA KIGENI AMBAO YANGA WAMETANGAZA;
(1) Kambole ( Zambia)
(2) Bernard Morrison (Ghana)
(3) Bigirimana (Burundi)
Soon kuna wachezaji watatangazwa!!!!!!
27/01/2021
TANGAZO
Tafadhali hii akanti hivi sasa situmii nimeifunga kuna tatizo kidogo ila natumia Ngoi sports akanti nyingine nimefungua follow and like kwa habari mbalimbali za kimichezo bado hujachelewa..
Asanteni