Joslin AMANI 96 Sports

Joslin AMANI 96 Sports

Share

Football analyst and reporter

10/05/2026

๐Ÿฉธ Breaking News: GIRUMUGISHA Jean Claude๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, kuelekea Ufaransa๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท kwenye majaribio.

Magazeti ya nchini Burundi na nchini Rwanda yanaripoti kua Winga wa Klabu ya Al Hilal Omdurman๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ,yuko mbioni kuelekea Ufaranaa kufanya majaribio katika moja ya vilabu vya ligi kuu huko League 1.

inasemekana Klabu ya OGC Nice ao Lille

17/01/2026

๐Ÿ†| Fainali kuu
โšฝ| Senegal๐Ÿ†š Morocco
๐Ÿ—“๏ธ | 18-01-2026
โฐ| 19:00 GMT
๐ŸŸ๏ธ| Prnce Moulay Abdellah Stadium

11/01/2026

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Tajiri Aweka mzigo Nigeria๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ kuiondoa Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ nusu fainali๐Ÿ”ฅ.

โžก๏ธ Bilionea wa Nigeria, Alhaji Abdul Samad Rabiu, ametangaza zawadi nono kwa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Nigeria Super Eagles kuelekea Nusu Fainali.

โžก๏ธ Ameahidi $500,000 [ Bilioni 1.2 Tsh ] k**a watashinda mechi ya Nusu fainali lakini pia watapata $50,000 [ Milioni 123 Tsh ] kwa kila goli moja watakalofunga kwenye kwenye Nusu fainali

โžก๏ธ Ahadi kubwa zaidi ni $1,000,000 [ Bilioni 2.4 Tsh ] k**a watabeba ubingwa na zawadi ya kila goli kwenye fainali watapata $100,000.

โžก๏ธ Kwa kifupi Tajiri ananua goli Milioni 123 Nusu fainali, alafu ananunua tena goli moja.

โžก๏ธ Fainali anawapa Bilioni 1.2, Wakibeba ubingwa anawapa Bilioni 2.4.

11/01/2026

๐Ÿ†| wiki ya 15
โšฝ๏ธ| Al Hilal๐Ÿ†š Al Nassr
๐Ÿ—“๏ธ| 12-01-2026
๐ŸŸ๏ธ| Kingdom Arena
โฐ| 17:30 GMT

patawaka moto๐Ÿ”ฅAl nasr wanaongoza ligi kwa alama 2 mbele.

07/01/2026

Quarter finals๐Ÿ”ฅitakua ya moto sana

07/01/2026

๐Ÿšจ๐“๐Ž๐ƒ๐€๐’€๐’, ๐— ๐€๐“๐‚๐‡๐„๐’:
Juma tano ya moto๐Ÿ”ฅ

ma kocha wapya chelsea๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ na manchester united ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ nchini wingereza wako dimbani, mwanzo utakuaje?

05/01/2026

Robo fainali itakua ya moto sana. inasubiriwa michezo miwili ili kukamilisha team 8 zitakazo minyana Robo fainali:

Dr Congo๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ†š Algeria๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
Ivory Cost๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ†š Burkina Faso๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ

05/01/2026

๐ŸŽ™๏ธLegend wa manchester united Rio Ferdinand๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ azungumzia kuhusu Ruben Amorim๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡นkufukuzwa manchester united.

Rio anasema ๐Ÿ—ฃ: "Nimeshtuka sana niliposikia hio taarifa, lakini niliporejea takwimu zake, sikushtuka kabisa."
๐Ÿ—ฃ: "Ndie kocha mwenye Takwimu mbovu zaidi baada ya kuondoka kwa Sir Alex Faguerson."

05/01/2026

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: ๐‘๐”๐๐„๐ ๐€๐Œ๐Ž๐‘๐ˆ๐Œ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Afutwa kazi ๐Œ๐€๐๐‚๐‡๐„๐’๐“๐„๐‘ ๐”๐๐ˆ๐“๐„๐ƒ! baada ya mfulurizo wa matokeo mabovu, ambapo uongozi uliamini team yao ingeweza kufanya vizuri zaidi kwa kikosi walichonacho.

๐ˆ๐“โ€™๐’ ๐Ž๐•๐„๐‘. ๐Ÿ’”๐Ÿ‘‹๐Ÿผ

05/01/2026

๐Ÿšจ ๐“๐Ž๐ƒ๐€๐’€๐’, ๐— ๐€๐“๐‚๐‡๐„๐’ ๐‘๐„๐’๐”๐‹๐“๐’:
matokeo ga mechi ulimwenguni:

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Abu Dhabi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Al Ain
Abu Dhabi