22/05/2024
🚨😳 La seule chose qui peut me faire j0uire comme un f0u c'est pas une femme mais voir Manchester City remporté le trophée de la Premier League 😅 🏆
🚨 🤣😂 Depuis que nous avons remporté la Premier League je ne fait que j0uire, c'est f0u les gars. Rejoignez moi dans ma j0u!ssance😍
28/02/2024
"Kufuzu kwa Yanga SC katika hatua ya robo fainali wa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba ni Mohammed Dewji na wa pili ni Simba SC.
Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na baada ya hapo tukaanza mchakato wa kutawala soka la Afrika.
Wakati Mohammed Dewji anatengeneza dira ya kutawala soka la Afrika vilabu vingine vilikuwa vimelala usingizi wa pono, vilikuwa haviwazi kushindana Afrika na kusumbua.
Baada ya miaka mitano ndio na wengine wameamka na wenyewe kutaka kuanza kufanya vizuri. K**a Simba SC na Mohammed Dewji tungeendelea kulala basi hadi sasa hakuna klabu yoyote Tanzania ingekuwa na hasira, malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika ndio maana nasema robo fainali yao ya kwanza wa kushukuriwa ni Mohammed Dewji ndio aliwaamsha watu kutoka kwenye usingizi. Huu ndio ukweli ambao utadumu milele."- Ahmed Ally.
25/02/2024
Iyontaza gusaza mbandumusore yiyemera arikonubu ntaco mbaye ntijagire uwuza kundesha kuko ndacabasha akazi nubwo nshaje 😆😆😆😄😆😆
25/02/2024
Umukunzi wawe nimbagukunda nikuki ariwewe utangurakumwandikira ugworukundo ruteyamakenga🤣🤣🤣📨📨