14/11/2025
Simple moves, serious results π₯ #fyp #viral #trending #foryou #fblifestyle
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Paul YVES, Sport & recreation, Kanyosha.
12/12/2022
Luka Modric! Ni k**a moyo wake ulitengenezwa kwa chuma halafu miguu yake ikaumbwa kwa kokoto, Mungu akainyoosha vema kwa Rula!
Zaidi ni kwamba leo alitembea uwanjani na ubongo wa fundi anayemuhusudu sana Zinedine Zidane. Kwenye kiungo cha Croatia amecheza kwa moyo mkubwa sana huyu Mbosniaπ
Kuna muda Brozovic alionekana kuzidiwa lakini Modric alimpa tabasamu mdogo wake na kutembea nae. Kuna muda Kovacic alikosa pa kupita, Modric akamfungulia mlango na kumuonesha njia
Casemiro, Lucas Pacquieta Neymar, hata na Fred aliyeingia baadae, walijaa katika mifuko yake. What a manπ
Luka Modric appreciation post π€
π
Je suis avec vous