31/08/2026
🚨 RASMI
LIONEL MESSI AMETANGAZA KUSTAAFU KUCHEZA KWA TIMU YA TAIFA! 👋🥹
HATACHEZA TENA NA TIMU YA TAIFA YA ARGENTINA! 😢❌
🏆 Bingwa wa Dunia
🏆🏆 Copa América
🏆 Finalissima
👕 Mechi 207 za timu ya taifa
⚽️ Mabao 125
🎯 Assist 68
👑 Amebeba kizazi kizima mabegani mwake
🇦🇷 Na zaidi ya yote… ameiongoza Argentina kurudi kileleni mwa dunia.
Asante kwa kila kitu, LIONEL MESSI,❤️🐐🇦🇷
31/08/2026
RASMI
Bradley Barcola amesaini rasmi miaka mitano 5 Liverpool Football Club
31/08/2026
Atletico Madrid imefikia makubaliano na Juventus kumsajili mshambuliaji Jonathan David kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja.
31/08/2026
Mabadiliko ya Real Madrid chini ya José Mourinho:
Timu bado haijahitaji miujiza ya kuokoa magoli kutoka kwa Thibaut Courtois.
Jude Bellingham amerudi kwenye kiwango chake bora.
Iwe timu inashinda au inapoteza, mtazamo na nguvu ya timu vimebadilika kwa njia chanya.
José Mourinho anahakikisha benchi lote linabaki likiwa na ushiriki, huku wachezaji wanaoingia k**a akiba tayari wakitoa mchango.
Fede Valverde amerudi kwenye kiwango chake bora na ameongeza nguvu na ubora mpya katika kiungo cha Real Madrid.
Mabeki wa pembeni Trent Alexander-Arnold, Denzel Dumfries na Marc Cucurella wanafanya tofauti kubwa.
Na muhimu zaidi, uhusiano kati ya timu na mashabiki wa Santiago Bernabéu umerudi tena. 🔥🤍
31/08/2026
🚨 IMETHIBITISHWA
Mikael Baza mwenye umriwamiaka16 amesaini kujiunga na Barça
🛡️ Beki huyo wa Ujerumani ambaye ametoka Hamburg ni binamu wa Jonathan Tah.
31/08/2026
🚨 Juventus imetuma ofa ya kwanza rasmi kwa Manchester United kumsajili Joshua Zirkzee.
✅️Ofa hiyo ni mkopo wa €2.5 milioni, pamoja na chaguo la kumnunua moja kwa moja kwa €30 milioni.
31/08/2026
🚨 Tottenham Hotspur wameulizia kwa AC Milan kuhusu kumsajili winga wa Marekani mwenye umri wa miaka 27, Christian Pulisic.
31/08/2026
🚨 IMESHAKAMILIKA
Pape Matar Sarr amesaini kujiunga na Juventus kwa ada ya €30 milioni.
30/08/2026
Pierre-Emerick Aubameyang amefunga bao lake la tatu katika mechi tatu akiwa na La Corogne! 😍🇬🇦
➡️ Mechi 3
⚽️ Mabao 3
Mwanzo mzuri kabisa katika klabu yake mpya!
30/08/2026
🚨 José Mourinho: «Leo, mchezaji ambaye hapendwi amecheza mechi kubwa: Eduardo Camavinga l» 👏