Ila wa bembe wanapenda kukitesa saana wallah sasa mtu unaishi Europe still unataka kupika kwenye kuni
PCK
Music
Naomba ni waulize wa kristo Je! Hii ni style Gani ya mazishi? Maana hata mwanandani hua haipo hivi
Yani mnazika mtu akiwa amesimama kichwa wazi seriously?
Msigwa wewe akili yako ni zero kabisa
Hivi ni kuulize sio ninyi ndo mlisema mwanafunzi anapo hitim elimu yake akajiajiri right so ushajifikiria mtu katoka shule then ajiajiri huo mtaji anakua kampa mama yako ao?
Hivi unajua ni vijana wangapi wapo majimbani kwao kwakukosa ajira?
Je! Wewe mbona hujawai kulima hiyo njombe yenyewe hua unaenda mara moja baada ya miaka5 mda wako woote upo dar
Sawa tuseme watu wamekubaliana na wewe wafanye kilimo je! Hizo shamba na mbolea wanapewa bure ili wakalime?
Na watu wa Dar na wao wakalime je! Dar kuna mashamba?
sometimes kabla ya kuongea uwe unafikiria hata jamii inayo kuzunguka na sio kuropoka kisa wewe una maisha bora na ajira ya kudumu unakufanya uwaone woote wasokua na kazi kua niwazembe na wavivu nooo
1. Serekali ya haijawai kuweka mikakati bora ya ajira kwa kila mtu
2. Serekali ya CCM imekua madarakani kujinufaisha yenyewe na ufisadi bila kujali wananchi
3. Leo hiii maisha yamekua magumu na ya hatari kwa kila mtanzania
4. Nchi haina furaha wala amani kila mtu kila ifikapo usiku anahofu ya kuishi na hajui k**a kutakucha akiwa hai
5. Nchi imejaaa damu kila sehem
Kuanzia Rais mpaka watu wake woote wa chini woote wezi
Then unakuja kuropoka mbele za watu unaongea upuuzi usoeleweka Hivi ushawai kujiuliza siku ukija kukuta mtu wako yeyote uliempenda saana katekwa then ukaja kuokota mwili wake kwenye mto?
ningewaona wa maana saana k**a mngeweza kutumia sikuhizi kusafisha na kuomba msamah kwa maelfu ya watu mlowauwa October 29/2025
Ni vile tu watanzania mshaga waona k**a katuni zenu na kuwajaza mauoga
Na ninyi nina uhakika 100% woote hamna ajira na wala hata hayo mashamba ya kulima hamna Ila mnavyotumiwa sasa kukamilisha uovu wa hawa mafisadi yani wewe kula yako shida Ila fisadi anaendelea kukutumia wewe kuongeza kitambi chake then wakiona mnalalamika saana mnapewa buku5 basi mnaona maisha ndo hayo mwisho wa siku wanakuja kuwatukana live kua hamtaki kufanya kazi nendeni mkalime njombe serious?
05/21/2026
MIMI NINA MASWALI MENGI SANA NAKOSA MAJIBU
HIVI NI LINI TANZANIA ITAPATA UHURU NA AMANI?
JE! KWANINI WANAO TEKWA NA KUDHURIKA NI WANA SIASA WA VYAMA WA UPINZANI TU?
KINGINE INA MAANA TANZANIA HAKUNA MEDIA HATA MOJA INAYOWEZA KUKEMEA HUU UTEKAJI NA MAUWAJI?
MEDIA ZOOTE ZIPO BUSY NA RIO FERDINAND KWA UPUUZI TU HUKU WATU WANAKUFA 24/7 MNAONA NI SAWA TU
HIVI HIZI MEDIA ZOOTE HAZIPO TANZANIA AO?
05/21/2026
HIVI NI LINI TANZANIA ITAPATA UHURU NA AMANI?
JE! KWANINI WANAO TEKWA NA KUDHURIKA NI WANA SIASA ZA UPINZANI TU?
Angalieni sasa ile mikopo ambayo BI MSUMI hua anakopa kopa hovyo matumizi yake na watakao lipa hiyo mikopo ni wananchi wenyewe
05/21/2026
Mmoja ametekwa usiku huu nyumbani kwake(David Jumbe), mwingine yuko Jela haijulikani atatoka lini ( Mhe. Tundu Lissu) na mwingine yuko uhamishoni kwa kutaka kuuwawa (Askofu Mwanamapinduzi).
Usiku huu watu wenye silaha ambao hawajajitambulisha wamemk**ata David Jumbe (kushoto) ambaye ni Msaidizi wa Tundu Lissu nyumbani kwake Mabwepande Bunju, jijini DSM. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mke wake, Jumbe alikuwa anarudi nyumbani na alipofika getini alifuatwa na watu hao, wakamk**ata na kumwingiza kwenye gari aina ya Land Cruiser kisha kuondoka kwa mwendo mkali. Jumbe alipiga kelele na kujaribu kujitetea lakini watu hao wakamzidi nguvu. Majirani walipofika walijaribu kuikimbiza gari hiyo bila mafanikio. Wameishia kuambulia kiatu ambacho Jumbe alikidondosha katika purukushani.
Je, huyu Chitanda aliyesema angepewa urais dakika moja, angemaliza wanachadema, ndiyo anamalizia?
Tusipoamua liwalo na liwe kwani ni nani yuko salama? Ee Mungu baba usikawie kutusaidia.
05/12/2026
HBD MY BROTHER DON MENDEZ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Address
Toronto
Oakville, ON
L6K3K7